Moisemusajiografii
JF-Expert Member
- Nov 3, 2013
- 55,482
- 104,216
Safi.Sasa,hebu weka ranks kwa kila timu.Kuna kauchawi fulani nataka nione.🤔🤔🤔🤔[emoji599] Tanzania imepaa hadi namba saba !
Taifa lipo mikono salama kisoka
Baada ya klabu ya Yanga kufuzu robo fainali CAF Confederations cup, Nchi ya Tanzania imeongeza point 7.5 na kuwa na jumla ya point 46.5 kwenye CAF association ranking.
Poit hizo 46.5 zimetengenezwa na vilabu vitatu vya Tanzania kama ifuatavyo ;
[emoji2405] 10 = Young Africans
[emoji2405] 35 = Simba
[emoji2405] 1.5 = Namungo
Ndani ya msimu mmoja Yanga imekusanya points (10) Yaani.
2.5 = Kufuzu makundi
7.5 = Robo fainali
Kutokana na points hizo kwa sasa Tanzania tunashika nafasi ya (7) Afrika.
1. [emoji1173] Morocco
2. [emoji1093] Egypt
3. [emoji1026] Algeria
4. [emoji1221] South Africa
5. [emoji1249] Tunisia
6. [emoji1078] Dr Congo
7. [emoji1241] Tanzania
NB: Kwenye viwango vipya vya vilabu Afrika Yanga atasogea hadi kwenye top 18... Na atasogea tena iwapo atafuzu nusu fainali.
Source: Shafii daudah, (2022)
[emoji119]
Credit: Asanteni Simba & yanga
View attachment 2558994
Point 15Mleta mada hebu nielimishe, kama Yanga kapata pointi10 huko shirikisho kwa mwaka huu, je, Simba katengeneza point ngapi mwaka huu, huko kwenye Champions league? Tuelimishane tu...
Scars OKW BOBAN SUNZU
wengi mnatatizo la afya ya akili.Wako very bright
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] yaan utopoloo wana chachawa had bas, khaaaaah.Uzi unaanza anajaribu kuaminisha watu kuwa Yanga ndo ime-secure nafasi ya kupeleka timu nne kimataifa. Ukweli ni kwamba, nafasi ya timu nne kimataifa imeletwa na mnyama na ikawa maintained na mnyama na hata wao iliwabeba wakapasuka nje ndani dhidi ya Rivers united.
Pili, anajaribu kuaminisha watu kuwa utopolo kufuzu robo fainali ya kombe la mbuzi kumeihakikishia nchi kupeleka timu 4 kimataifa, ukweli ni kwamba wao hata wasingefuzu kabisa group stage bado nafasi ya timu 4 ingeendelea kuwepo, sababu nchi inayotufuatia ipo chini sana ki-point hivyo hawawezi kutufikia anytine soon.
Tatu, anajaribu kui-over credit Yanga wakati namba zinamkataa, hapo kwenye list yake ya timu tatu zilizo changia points ameanza na utopolo yenye point 10 na kufuatia na simba mwenye point 35, kama sio uwendawazinu ni nini.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kwa kweliii[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]hili jukwaa linataka vichwa vigumu, ukiwa soft sharti utembee na panadol mfukoni.
Km had wee umekubaliiiiiii baas, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Ila chuki pembeni watani makolo wameupiga mwingi sana.
SibadilishiiiiHaya badilisha hiyo dp
Kimataifa sijui huwa wanarogaje!! Nyumbani akina Singida wanajipigia tu.Yaaah ila bahati yao wamekutana na timu dhaifu
SawaAsanteni Simba& yanga