Tanzania hakuishi vituko


Lazma tuwapa wananchi eimu ya kuikata rasimu ya maharamia wa ccm na kuipigia kura ya HAPANA rsimu ya ccm huu upuuzi wa ccm hauvumilki tena
 
Tutaendelea kudai katiba ya wananchi hata kama hii ya sitta itatangazwa imepita.ngoma bado mbichi kabisa.

hatuwezi kukubali kutengeneziwa katiba na wahuni wa ccm lazima tutaidai katiba yetu bila kuogopa chochote Back Tanganyika
 

Kweli kabisa hapo umenena. Hata hvyo nimegundua Viongozi wetu karibia wote wanamapepo haswa CCM wote wako kama wamechanganyikiwa maamuzi wanayofanya niya kitoto yaani huwezi kuamini kweli maamuzi haya amefanya mtu mwenye akili timamu au Tahira. Hao ndio Viongozi wetu. Halafu unadiriki kujiita viongozi hata bila aibu. Shame on you.
 


Umenena ukweli mtupu....

Ccm ni janga la kitaifa
 
Kwa mtazamo wako ulitaka kura ya maoni ifanyike siku moja na Uchaguzi wa Rais siyo? You are not serious, ndivyo sheria ya mabadiliko ya katiba inavyosema?

Hapa hoja ni kuepuka Gharama.

sheria haizungumzii kura ya maoni ifanyike baada ya uchaguzi wa Rais.

Lazima ukumbuke uchaguzi wa mbunge na wa Rais huwa unafanyika pamoja.

Nimeamua kurudia mada hii kiswahili, huko nyuma iliandikwa kwa kiengereza.

Mchakato wa kurekebisha KATIBA unaendelea.

Hivi ni kweli hakuna mda wa kutosha wa kupiga kura ya maoni ili tupate KATIBA mpya?

Kama kura ya kumchagua Mbunge na kumchagua Rais zinaweza kufanyika pamoja, kwanini na kura ya maoni isifanyike kipindi hicho?

Ni kiasi cha kuongeza sanduku na karatasi nyingine ambayo inamtaka mpiga kura kukubali (ndio) au kukataa (hapana) KATIBA iliyopitishwa na Bunge Maalum la Katiba.


Kufanya kura ya maoni baada ya uchaguzi wa Rais ni sawasawa na kufanya uchaguzi wa Rais mara mbili na hii inaongeza gharama.
 
tusubr kura za mtaani

Kama iliweza kupitishwa kwa mtutu wa bunduki pale bungeni naamini hata kwenye kura lazima bunduki itatumika tena ndio rahisi kweli kwa CCM kuiba kura na kutangaza kuwa wananchi wameipigia kura ya ndiyo. CCM ni bora ya shetani. Nchi inaendeshwa kiuwiziwizi na ujanja ujanja. Bila kuhonga watu na kuwarubuni, CCM haiwezi kuongoza nchi. Na ndio maana wataitwa viongozi wa dini wenye njaa au wazee ili wasaidie kupiga msasa au kutoa matamko ya amani. CCM ilikufa na Nyerere, iliyobaki ni ya wapiga dili tu.
 
Gharama ya sherehe za kipuuzi inatosha kwa kura za maoni!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…