Inakuwa kulinganisha na nini?Ki Dar kinakuwa tu. Na uchumi unakwenda chini!!!
Inakuwa kulinganisha na nini?
Bulesi imenena hayo ni madhara ya kuyumba kwa uchumi. Honetsly kila mtu alishangaa kwamba uchumi wetu upo safe. Maana siyo utalii, tnaexport nje mazao na tunaagiza bidhaa. Kuna issue ya misaada. Ilikuwa hoja ya ajabu. But 5% with the presence turmoil si mbaya km kweli ni 5%.
Triplets inawezekana huoni kwa sababu huna access na takwimu. Nchi yetu haina viwanda kabisa, unataraji mazao yanaozalishwa yanakwenda wapi? Na pia tunanunua wapi? Tunatumia nini kununua? Unafaham utalii unaingizia Taifa kiasi gani? Jarinu kupitia bajeti za wizara km mifugu na maendeleo ya jamii utaona ni kiasi gani utalii unamaana.mimi hata siku moja huwa siwaelewi wanapozungumzia haya mambo. kwani tuna export bidhaa gani na kiasi gani kwenda kwenye hizo nchi zinazohangaika na recessesion kiasi cha kuathiri mapato ya taifa? hata utalii wenyewe hauingizi kiasi cha kushusha uchumi kiasi hicho
hao hao wenyewe wanasema budget ya tanzania inategemea revenew na misaada , labda waseme misaada imepungua, vinginevyo mimi sioni sababu yoyote ya kuporomoka kwa uchumi na naanza kushawishika kufikiria kwamba pengine kuna wajanja wachache wana tumia hali iliyoko huko western countries kama njia ya kukomba fedha na kusingizia recession...