Jamii Opportunities
JF-Expert Member
- Feb 10, 2014
- 5,157
- 1,688
Mkuu heri yako hata umepigiwa simu na HR unayo matumaini.Ndio mi nimeomba na wamenijibu nisubirie watanipigia simu kwa usahili
Sent from my Infinix PR652B using JamiiForums mobile app
Lini hiyo?Ndio mi nimeomba na wamenijibu nisubirie watanipigia simu kwa usahili
Sent from my Infinix PR652B using JamiiForums mobile app
Sijapigiwa simu mkuu, ni email tu wamenitumia, ndio naendelea kusubiria simu kutoka kwa meneja wao wa tanzaniaMkuu heri yako hata umepigiwa simu na HR unayo matumaini.
Wengine tulipokea email toka talent acquisition kuwa tumepita hatua yao ila tusubirie kama hr wa bongo atatupitisha then baada ya hapo hakuna jipya ikawa kimyaa.
Mimi nimetumiwa kuwa wanaendelea na wengine maana mimi sijakidhiSijapigiwa simu mkuu, ni email tu wamenitumia, ndio naendelea kusubiria simu kutoka kwa meneja wao wa tanzania
Sent from my Infinix PR652B using JamiiForums mobile app
Okey, ngoja mi niendelee kusubiria maana wameniambia watanijulisha hata kama nisipopitaMimi nimetumiwa kuwa wanaendelea na wengine maana mimi sijakidhi
Email ya kwanza ulipata? Ile ya maombi mwenda kwa hiring manager? Na hiyo ya kuwa wanaendelea na wengine, umepata lini?Mimi nimetumiwa kuwa wanaendelea na wengine maana mimi sijakidhi
a kwanza ambayo ni system generated huwa inatumwa kwa kila aliyeomba. Kwahiyo niliipata. Ya kuwa nimekosa nafasi nilipata jumamosi jioni juziEmail ya kwanza ulipata? Ile ya maombi mwenda kwa hiring manager? Na hiyo ya kuwa wanaendelea na wengine, umepata lini?
Nimekuelewa mkuu, uchambuzi bado unaendeleaY
a kwanza ambayo ni system generated huwa inatumwa kwa kila aliyeomba. Kwahiyo niliipata. Ya kuwa nimekosa nafasi nilipata jumamosi jioni juzi
Nmekosa, email yao nmeipataY
a kwanza ambayo ni system generated huwa inatumwa kwa kila aliyeomba. Kwahiyo niliipata. Ya kuwa nimekosa nafasi nilipata jumamosi jioni juzi
Duh! Ulituma maombi lini?Nmekosa, email yao nmeipata
Last weekDuh! Ulituma maombi lini?
Mkuu Umesomesomea Nini na unakiwango kipi Cha elimu,na dini yako Ni ipi na una.uzoefu wa miaka mingapi ?Nmekosa, email yao nmeipata