KijanaHuru
JF-Expert Member
- Jan 7, 2017
- 1,822
- 2,290
Raha na maana ya ndoa ni matunda (watoto). Bibi hawezi kuzaa kwa kijana lakini babu anaweza kuzaa kwa binti.
Sababu bibi hawezi kuzaa
na babu ana uwezo wa kuzalisha
Full stop
Bibi anaishiwa nguvu mapema na huchoka na kupoteza hamu ..vice versa kwa babu
Hapa hakuongelewa raha bali WaTz kushangaza kwa kuiangalia ndoa kwa malengo tofautiNawale Wasiopata Watoto Na Bado Wameishi Mpka Wamezeeka Hawana Raha?
Hapa hakuongelewa raha bali WaTz kushangaza kwa kuiangalia ndoa kwa malengo tofauti
Siungi mkono kwa vibabu kukimbilia vischana lakini pia ni laana kubwa kwa kijana kuangukia kwa sugar mummy atakaemtumia bila faida. Vyote havifai japo babu aweza kumzalisha bintiwewe binafsi sasa unamaoni Ganii?