Tunatoa huduma zinazopatikana BRELA, Idara ya uhamiaji na Mifuko ya hifadhi ya jamii(kwa makampuni)
1.Huduma za usajili wa makampuni na majina ya biashara katika mfumo wa ORS
2.Huduma za uhakiki wa taarifa za makampuni na majina ya biashara katika mfumo wa ORS.
3.Huduma za baada ya usajili wa makampuni na Majina ya biashara kwa mfano maombi ya mabadiliko ya taarifa za makampuni na majina ya biashara kama vile maintenance na mabadiliko ya majina n.k
4.Huduma za maombi ya leseni za biashara
5.Huduma za Idara ya uhamiaji kama vile maombi ya awali ya pasi za kusafiria (passport) ujazaji wa fomu kwa njia ya mtandao
6.Huduma ya Kuunganisha makampuni binafdi katika mifuko ya hifadhi ya jamii mfano NSSF na PSPF
MAWASILIANO
0787 471565/0659 266363 Tass_ade@outlook.com
Old Ushirika Tower floor number 4
Lumumba Street
Dar es Salaam