Ramsy Dalai Lama
JF-Expert Member
- Apr 5, 2021
- 215
- 908
Kweli mkuu, si unajua kibongo bongo hatujawahi kuwa serious sana na Mambo mengiHii sana ni nzuri sana na inaingiza kipato lakini kwa bongo hapa hawajaipa kipaumbele. Ni ajira tosha
Tunashukuru kwa appreciation.Huwa nawa Admire wachoraji kwa SABABU Mimi sio mchoraji mzuri, hakika ni Moja ya talanta za kipekee..
Hii inatofauti gani na 3D?hyperrealistic art ni aina ya Sanaa ya uchoraji yenye kutumia details nyingi na umakini sana juu ya kitu unachokichora ili iwe na uhalisia.
View attachment 2316989View attachment 2316991View attachment 2316982
Wasanii wa aina hii hutumia kipaji na uwezo wa hali ya juu katika uchoraji wa kazi zao ili kufikia quality ya picha iliyopigwa na camera. Na hufanikisha lengo hilo kwa kuweka umakini zaidi kwenye maelezo ama more details ya hicho wanachokichola ili kupata uhalisia.
View attachment 2316990View attachment 2316988
Huwa wanacheza na uchanganyaji wa rangi yenye uhalisia wa hicho wanachokichora, na rangi ya mwanga, na pia rangi hulinganishwa kwenye uhalisia wa kimazingira, halafu huamia katika kuchezesha rangi katika uchoraji kuzighatia colour intensity, lighting, contrast, and sharpness ili mwishowe wapate picha yenye uhalisia wa hali ya juu. Hii ndio inayotenganisha Hyperrealism kutoka katika Sanaa ya uchoraji iliyotangulia ambayo ni naturalistic na Photorealism.
View attachment 2316983View attachment 2316992View attachment 2316985View attachment 2316986View attachment 2316993View attachment 2316979
Na kwa kuongezea tu ni kwamba Sanaa hii ya uchoraji huchukua mda mrefu sana kumaliza picha, na muda mchache ni huanzia mwezi moja na Zaidi ili kukamilisha picha moja tu
Nasubiri jibu Kuna kazi hapa.Kwa tz kuna uvhoraji huu?
Wapo Wachoraji wachache wenye uwezo huo...!Kwa tz kuna uvhoraji huu?
Hio ya yai nayo Ni picha?hyperrealistic art ni aina ya Sanaa ya uchoraji yenye kutumia details nyingi na umakini sana juu ya kitu unachokichora ili iwe na uhalisia.
View attachment 2316989View attachment 2316991View attachment 2316982
Wasanii wa aina hii hutumia kipaji na uwezo wa hali ya juu katika uchoraji wa kazi zao ili kufikia quality ya picha iliyopigwa na camera. Na hufanikisha lengo hilo kwa kuweka umakini zaidi kwenye maelezo ama more details ya hicho wanachokichola ili kupata uhalisia.
View attachment 2316990View attachment 2316988
Huwa wanacheza na uchanganyaji wa rangi yenye uhalisia wa hicho wanachokichora, na rangi ya mwanga, na pia rangi hulinganishwa kwenye uhalisia wa kimazingira, halafu huamia katika kuchezesha rangi katika uchoraji kuzighatia colour intensity, lighting, contrast, and sharpness ili mwishowe wapate picha yenye uhalisia wa hali ya juu. Hii ndio inayotenganisha Hyperrealism kutoka katika Sanaa ya uchoraji iliyotangulia ambayo ni naturalistic na Photorealism.
View attachment 2316983View attachment 2316992View attachment 2316985View attachment 2316986View attachment 2316993View attachment 2316979
Na kwa kuongezea tu ni kwamba Sanaa hii ya uchoraji huchukua mda mrefu sana kumaliza picha, na muda mchache ni huanzia mwezi moja na Zaidi ili kukamilisha picha moja tu
Una Shida gani na Mchoraji!?atafuta mchoraji