M mwajungwa Member Joined Jul 1, 2014 Posts 22 Reaction score 3 Mar 16, 2018 #1 Naomba kuuliza wadau kwa mwenye taarifa kuhusu nafasi zilizotangazwa na Tanroad kibaha kama wameishaanza kuita watu kwaajili ya interview.
Naomba kuuliza wadau kwa mwenye taarifa kuhusu nafasi zilizotangazwa na Tanroad kibaha kama wameishaanza kuita watu kwaajili ya interview.
M MACD Member Joined Oct 27, 2016 Posts 10 Reaction score 0 Mar 16, 2018 #2 mwajungwa said: Naomba kuuliza wadau kwa mwenye taarifa kuhusu nafasi zilizotangazwa na Tanroad kibaha kama wameishaanza kuita watu kwaajili ya interview. Click to expand... Ngoja waje watujuze, maana hata mimi niliomba.
mwajungwa said: Naomba kuuliza wadau kwa mwenye taarifa kuhusu nafasi zilizotangazwa na Tanroad kibaha kama wameishaanza kuita watu kwaajili ya interview. Click to expand... Ngoja waje watujuze, maana hata mimi niliomba.
kedrick JF-Expert Member Joined Apr 25, 2015 Posts 5,286 Reaction score 5,274 Mar 19, 2018 #3 mwajungwa said: Naomba kuuliza wadau kwa mwenye taarifa kuhusu nafasi zilizotangazwa na Tanroad kibaha kama wameishaanza kuita watu kwaajili ya interview. Click to expand... Yaan ku apply uli apply kimya bila kuwashirikisha wenzako humu halafu kwny kuitwa interview ndo unakuja kuwauliza humu. Watu washanza Kazi kabisa uko
mwajungwa said: Naomba kuuliza wadau kwa mwenye taarifa kuhusu nafasi zilizotangazwa na Tanroad kibaha kama wameishaanza kuita watu kwaajili ya interview. Click to expand... Yaan ku apply uli apply kimya bila kuwashirikisha wenzako humu halafu kwny kuitwa interview ndo unakuja kuwauliza humu. Watu washanza Kazi kabisa uko
Saint Ivuga JF-Expert Member Joined Aug 21, 2008 Posts 55,028 Reaction score 59,657 Mar 19, 2018 #4 Watu walishaanza kazi wiki iliyopita. Ulikuwa wapi?
M mwajungwa Member Joined Jul 1, 2014 Posts 22 Reaction score 3 Mar 19, 2018 Thread starter #5 Saint Ivuga said: Watu walishaanza kazi wiki iliyopita. Ulikuwa wapi? Click to expand... Ahsante kwa taarifa
Saint Ivuga said: Watu walishaanza kazi wiki iliyopita. Ulikuwa wapi? Click to expand... Ahsante kwa taarifa
M mwajungwa Member Joined Jul 1, 2014 Posts 22 Reaction score 3 Mar 19, 2018 Thread starter #6 kedrick said: Yaan ku apply uli apply kimya bila kuwashirikisha wenzako humu halafu kwny kuitwa interview ndo unakuja kuwauliza humu. Watu washanza Kazi kabisa uko Click to expand... Wewe ndiye hukuliona tangazo. kwa taarifa tu hata mimi hilo tangazo lao la kazi nililiona humu humu JF.
kedrick said: Yaan ku apply uli apply kimya bila kuwashirikisha wenzako humu halafu kwny kuitwa interview ndo unakuja kuwauliza humu. Watu washanza Kazi kabisa uko Click to expand... Wewe ndiye hukuliona tangazo. kwa taarifa tu hata mimi hilo tangazo lao la kazi nililiona humu humu JF.