Tano za Rais Magufuli

Mkubwa kama ccm hawatambui mchango wako hadi sasa hawakutendei haki, umewekeza sana.......
 
Mkubwa kama ccm hawatambui mchango wako hadi sasa hawakutendei haki, umewekeza sana.......

Nadhani Bwana Chin anafanya hayo yote kutokana na uzalendo na mapenzi kwa nchi yake, tofauti na watu kama Mmawia Bavaria nifah LAKI si pesa ambao inaonekana wazi kabisa kuwa walikuwa wanategemea kunufaisha matumboyao wenyewe!
 
Last edited by a moderator:
Nadhani Bwana Chin anafanya hayo yote kutokana na uzalendo na mapenzi kwa nchi yake, tofauti na watu kama Mmawia Bavaria nifah LAKI si pesa ambao inaonekana wazi kabisa kuwa walikuwa wanategemea kunufaisha matumboyao wenyewe!

Sijataja sababu na wala siijui, nilichokisema ni kwamba iwe ni kwa sababu yeyote ile, jamaa ameonyesha kiwango cha juu sana kuanzia kampeni hadi sasa hivi. Wakubwa wasipompoza hawatakua wamemtendea sawa.
 
Komaa mr chin watakupa ka cheo..naona mambo ya dini umeona hayalipi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…