Sigara Kali
JF-Expert Member
- May 28, 2017
- 3,623
- 8,428
Malaika hawaongozwi na WEHUDawa ni sisi watanzania including jeshi na TISS kumnyofoa pale ikulu na kumuwahisha kwenye kuongoza malaika
Mungu yupo hajaziba masikio anasikia, hajafunga macho anaona!Dawa ni sisi watanzania including jeshi na TISS kumnyofoa pale ikulu na kumuwahisha kwenye kuongoza malaika
Lakini Mungu ametuumba na akili tutumieMungu yupo hajaziba masikio anasikia, hajafunga macho anaona!
Dawa ni sisi watanzania including jeshi na TISS kumnyofoa pale ikulu na kumuwahisha kwenye kuongoza malaika
Subutu mkute jiran yenu au rafiki yajo kalla na mma ako ndo utajua ni bba au aduiAnayelala na mama yako ni baba yako mkuu. Vuta subra tu kutakucha.
Dalili za mtu mfu utazijua kwa.kauli zakeKiburi si maungwana
Tumempa ajira ,tunamlipa mshahara,anakula bure,kuvaa,kunya,kulala,kulindwa ,kutembelea gari zuri kwa kodi zetu
Lakini kajawa na kiburi ,anatudharau tunaompa mshahara,anatunyanyasa na kutuona maadui pale tunavyomrekebisha anapokosea
Kila kitu kinachomnufaisha mwana nchi moja kwa moja kaharibu Leo wananchi wanajuta kuzaliwa hapa
Yani mtu mmoja tu atuendeshe watu zaidi ya milioni 55
Mungu Fanya ujuavyo huko mbinguni na popote ulipo utuondolee huyu mtu aende makazi ya milele .
Sigara Kali
Sent using Jamii Forums mobile app
Kama baba ako alivyoanza kwa kauli zake chafu kwa watoto wake hadi kawa mfu
Povu la nini?huu mchezo hautaki hasira,Kama baba ako alivyoanza kwa kauli zake chafu kwa watoto wake hadi kawa mfu
Sent using Jamii Forums mobile app
Sisi Watanzania wazalendo tunamuombea Mungu ampe maisha marefu yenye raha bila karaha. Watu kama ninyi mafisadi na wanyonyaji wa mali za umma Mungu awape adhabu mnayostahili...aaamin.Kiburi si maungwana