Ukiandika Migomba hii inalindwa na Damu ya Yesu,... Kesho yake utakuta wameiba ndizi zote! Ila ukiandika inalindwa na nguvu za giza au majini, hagusi mtu..!