harafu we unachanganya madesa kweli we kila habari unafikiri inakaa MM, umeweka thread zaidi ya tatu harafu zote ziko na maudhui tofauti, that means peleka kila thread mahali pake, i mean ya biashara peleka uchmi, hio ya magushi ya mapenzi iache hapa hio ya kusoma peleka jukwaa la shule