Naitwa Tausi Hamidu Makeo, Wa Idara Ya Elimu Ya Msingi mkoani Lindi, Ruangwa..
Natafuta Mwalimu Wa Kubadilishana Naye Kituo Cha Kazi toka Mkoa Wa Dodoma au Morogoro, wilaya ya Gairo, Bahi, Kongwa, Chamwino, Mpwapwa na Dodoma.
Kwa mawasiliano piga Simu : 0676990441. Ahsanteni