Junior Lecturer
JF-Expert Member
- Jan 26, 2013
- 913
- 585
Sehemu ya kiwanja inayo Baki inaenea nyumba ya vyumba vitatu vya nje, parking,,na sehemu ya kucheza komborela madogoukubwa wa kiwanja ukoje??
Sehemu ya kiwanja inayo Baki inaenea nyumba ya vyumba vitatu vya nje, parking,,na sehemu ya kucheza komborela madogo
Mawasiliano hayo hapo.kwa ajili ya wateja wote kukuelewa.. boresha tangazo lako.
kuhusu vipimo weka kwa square metres.. acha mambo ya kombolela..
na useme kama ni low density plot au high density.. na hati ukiwezekana iweke hata number..
watu watakuja tu
Hela ya madafu tu hiyo.Sina uhakika kama unaijua 50 million vizuri
Kweli kabisa,lkn hio nyumba ni sawa na nyanya Moja so haina hadhi hata ya dafuHela ya madafu tu hiyo.
Kama unaweza kuikopea mil 70 bank shida iko wapi?
Sawa mkuu.Kweli kabisa,lkn hio nyumba ni sawa na nyanya Moja so haina hadhi hata ya dafu