Haa..kwahiyo umekuja kuharibu biashara sioChukua ofa za watu hapo juu hizi kitu ni cheap nowadays View attachment 1005598
Sent using Jamii Forums mobile app
Mbona hujaweka specf za hiyo pc?Chukua ofa za watu hapo juu hizi kitu ni cheap nowadays View attachment 1005598
Sent using Jamii Forums mobile app
Dah! Hapo umeharibu biashara ya mtuChukua ofa za watu hapo juu hizi kitu ni cheap nowadays View attachment 1005598
Sent using Jamii Forums mobile app
Bora ukae kimya usinipangie naweza kukaa nayo sio kwamba nina shidaPanga bei yako kuendana na soko la sasa otherwise utakaa nayo mpaka uchoke
Sent using Jamii Forums mobile app
Na hilo tangazo wala sijawahi kuliona, mm nimepanga kwa matakwa yangu wala sijaangalia hili, ndio maana nikakwambi Weka na specf zakePanga bei yako kuendana na soko la sasa otherwise utakaa nayo mpaka uchoke
Sent using Jamii Forums mobile app
Sawa BossBora ukae kimya usinipangie naweza kukaa nayo sio kwamba nina shida
Sent using Jamii Forums mobile app
.........Mchawi siyo lazima abebe tunguli mkuu maneno yake tu.
Hilo nalitambua lakini sio computer jinaHajakuharibia biashara ila anakushauri kwa vitendo kuwa bei uliyoweka ni kubwa kulingana na bei za sasa za desktops. Laptop City wanauza desktops complete mpaka laki mbili kamili
Sent using Jamii Forums mobile app