Tangazo mara ya tatu ya kuuza plot yangu Bunju B

ishedaddy

Member
Joined
Mar 29, 2014
Posts
24
Reaction score
0
Plot nzuri na tambarare yenye ukubwa wa miguu 28 / 25 naiuza bunju b. Ni nzuri si mbali sana kutoka barabarani kwa bodaboda ni sh1000 tu. Gari inafika mpaka huko.
Nimepunguza bei ni sh 5.5m.

UKIWA unatokea mjini ni upande wa kushoto.

Kwa mawasiliano 0713507487 / 0767507487.
 

Attachments

  • 1398324732181.jpg
    72.5 KB · Views: 107
huyo mwanamke ndio anayekupeleka peleka uuze kiwanja...w
 
mkuu haya mafuriko hayajafika huku.Vipi kuhusu Umeme Maji na majirani
 
Plot nzuri na tambarare yenye ukubwa wa miguu 28 / 25 naiuza bunju b. ...
Ungetaja dimensions zako katika mita, hiyo miguu sio SI Unit, kwani kuna tofauti ya mguu wa huyu na wa yule. Unaweza ukalinganisha mguu wa Komba na wa Lulu?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…