Tangazo la Tigopesa limepokelewa vizuri na watoto kuliko wahusika ambao ni watu wazima

Kweli nimezeeka...mbona sijaliona hilo tangazo au kwakua tv za bar hawaweki kina itv??
Si unajua bar hawaweki local channel! Kuna bar ukizoea unaweza kukaa mwaka mzima bila kuangalia habari.
 
Nimelikubali sana tangazo sabab limehamasisha sana upendo kwa watoto hasa kwa bibi zao na watu wengine,,, na hapo nd tunagundua kuwa maudhui ya kwenye TV's yana impact kubwa sana kwa watoto kwahiyo tujitahid kuchagua kipi bora kwa watoto wetu kuangalia.
 
Back
Top Bottom