TANGAZO LA KIFOTumepata taarifa kuwa ndugu yetu Muhammad Faraj wa UAE mwenye www.mawaidha.info ambaye pia alikuwa member wa alnoorcet mailinglist amerejea kwa Mola wake.
Innaa Lillah Wa innaa ilayhi raajiun
Allah amghufirie na amrehemu ndugu yetu na amjaaliye pepo ndio makaazi yake daima...
Amin
bwana alitoa na bwana ametwaa, jina la bwana libarikiwe