Abtali Mwerevu
JF-Expert Member
- May 5, 2013
- 796
- 707
Ni kwa ajili ya website, sina uhakika kama sheria za humu zinaruhusu kuweka link.Shule gani?
E-Learning, kwa ajili ya website.Shule gani?
Nami natafuta chemia na biology npo kibahaNafasi
Mwalimu wa Physics, Chemistry, Mathematics.
Mwalimu wa Biology na Geography.
Sifa
- Shahada ya Elimu kutoka chuo chochote kinachotambulika na serikali.
- Ajue kutumia Computer.
Majukumu
- Kuandaa notes.
- Kufundisha.
Jinsi ya kuomba
Tuma CV pekee kwenda email: daudmakoba@rocketmail.com, au Kwa njia ya WhatsApp namba: 0754 89 53 21
Mimi nimetuma mwalimu wa physics na mathematics from udsm pia naweza kufundisha chemistry kwa vidato vyoteNafasi
Mwalimu wa Physics, Chemistry, Mathematics.
Mwalimu wa Biology na Geography.
Sifa
- Shahada ya Elimu kutoka chuo chochote kinachotambulika na serikali.
- Ajue kutumia Computer.
Majukumu
- Kuandaa notes.
- Kufu hindisha.
Jinsi ya kuomba
Tuma CV pekee kwenda email: daudmakoba@rocketmail.com, au Kwa njia ya WhatsApp namba: 0754 89 53 21
Biology Niko hapa nakupataje au nipe njia ya kutuma detail zanguNami natafuta chemia na biology npo kibaha
Walimu wa lugha za asili hamhitaji ?E-Learning, kwa ajili ya website.
CV pekee ndo tunatuma or kuna additional information mkuu??Nafasi
Mwalimu wa Physics, Chemistry, Mathematics.
Mwalimu wa Biology na Geography.
Sifa
- Shahada ya Elimu kutoka chuo chochote kinachotambulika na serikali.
- Ajue kutumia Computer.
Majukumu
- Kuandaa notes.
- Kufundisha.
Jinsi ya kuomba
Tuma CV pekee kwenda email: daudmakoba@rocketmail.com, au Kwa njia ya WhatsApp namba: 0754 89 53 21
Biology Niko hapa nakupataje au nipe njia ya kutuma detail zangu
Pga 0654865376Biology Niko hapa nakupataje au nipe njia ya kutuma detail zangu
Akupigie wewe kama nani? Unahusika vipi na tangazo nililoweka?Pga 0654865376
Tangazo limeeleza wazi njia za kutuma CV.Biology Niko hapa nakupataje au nipe njia ya kutuma detail zangu
Acha kukurupuka jiridhishe kwnza .usiwe kama bao la kwanzaAkupigie wewe kama nani? Unahusika vipi na tangazo nililoweka?