Ndugu kuna tofauti kubwa ya masaa kati ya hapo ulipo na huku tuliko sisi. Tafadhali weka kama 12-24 hours kabla hujapata majibu. hata hivyo Ms Gudboy sijapokea e-mail yako. Wengine wote waliotuletea maombi yao tunaendelea kushughulikia. Inapokuwa mchana hapo ulipo sisi huku tumelala. Vuta subira.