Avemaria,
Bariadi accomodation sio shida labda kama huko ulipo.
Kama utapewa nafasi ya kufanya kazi katika ofisi yetu na ww unatoka mbali, nakuahidi kuwa tutakutafutia accomodation kulingana na hadhi na jinsi yako. Kama unasifa bado tunapokea maombi yenu ila ni kwa wenye sifa na uzoefu tu.
Mshahara siku zote ni makubaliano baina ya Mwajiri na mwajiriwa.
Ahsante