fantastic philip
Senior Member
- Oct 17, 2015
- 194
- 681
picha ikwapi ?Pichani
Naomba link hapa nilipate hilo game afu nitakutafutaWakimaliza waje na ID zao PlayOk niwachakate.
Draft Oyeee
Mkuu hili pambano halina wadhamini So ni mtu mmoja tuh ndio kajitolea....Laki 2 ni ndogo sana kwa Mshindi wa hilo mpambano
Acha utani hahahahhahahWakimaliza waje na ID zao PlayOk niwachakate.
Draft Oyeee
Atakae shinda uje utuambie
duh wako vizrMichuano yetu ya mchezo wa drafti inaendelea huko kitunda katika ukumbi wa JAVA mshindi wa kwanza kujinyakulia shiringi laki mbili na wa pili laki moja,
Mpaka muda huu waliotinga NUSU FAINALI ni
DOGO SISCO
DODO YASINI
DOGO ATHUMANI
Mechi ambayo bado haijaisha ni NDURI vs USTADH KIWEMBE Mpaka sasa wameshacheza michezo 14 hakuna aliyeona lango la mwenzie mechi bado inaendelea. ASANTENI SANA.
Naomba maelezo kuhusi hii kitu... nataka kujiungaWakimaliza waje na ID zao PlayOk niwachakate.
Draft Oyeee
Mkuu Kuna Uzi huku umeielezeaNaomba maelezo kuhusi hii kitu... nataka kujiunga
Ingia playok com kisha jisajili au ingia kama guest kisha chagua nchi TanzaniaNaomba maelezo kuhusi hii kitu... nataka kujiunga
Watu wanasukuma kete huko...balaa.Ingia playok com kisha jisajili au ingia kama guest kisha chagua nchi Tanzania