Mimi ningeomba ufafanuzi wa wanaojua je hizi pesa niza
(a) Gharama halisi ya kufua umeme ambao Dowans wameshatoa lakini hawajalipwa . (Wametoa umeme kwenye generators lakini hawajalipwa)
(b) Gharama za faini ya kukatisha mkataba tu. Gharama za umeme waliotoa haziusiki
(c) (a) and (b)
(d) Sababu nyingine naoma maelezo...
Hii itanisaidia ili nijue hizi pesa wanazodai ni zipi