Mkuu mbona ID yako siyo ya TANESCO ili nishushe povu?Pole sana mkuu kwa usumbufu uliojitokeza..!!!!! Ni kwamba kuna matengenezo yanaendelea karibu jiji lote la DSM na uboreshaji wa miundombinu yetu ndo maana unaona kuna kukatika kwa umeme mara kwa mara
Hahah tayari hio mkuu,kuwasha generator mpk uombe kibali mkuu.Hivi mkuu kuna kodi yua generator? Mdiyo nasikia leo mkuu hiyo kodi ni ya nini sasa maana kama ni uchafuzi wa mazingira hiyo kodi imo kwenye mafuta
Hivi inaweza pita mwezi bila umeme kukaika? miundombinu uwa mnatengneza kila siku basi muwe mnatoa taarifa mtatuunguzia vitu mara unarudi haipiti dakika unakata tena sometimes tena hili limekuwa tatizo sasa umeme unashtuka yani ka unakata withini a second unarudi kwa siku sometime inatokea hata mara tatu. Mnatutia hasara mjue kuna sku imeniunguzia chaja zote za simu na deck, jrani kingámuzi na chaja jirani mwingine TV, subwoofer na frijiMm nmejaribu kukuelewesha tu kama unaona kushusha povu ndio itakuwa solution ya kutokukatika kwa umeme we shusha tu povu kwa maana mikono mali yako unaeza kuandika chochote unachotaka
Wewe ndiye ninakuwa na mashaka kwako humu kuna mwakilishi wa TANESCO na uwa anasaidia watu humu humu akiona thread huenda we ni mpya wa social media. Kila kampuni kubwa ina customer care service mtandaoni. Kwa mfano mimi nikiwa nina shida na Mpesa, Tigo pesa CRDB nitawafuata kwenye page zao za FB na uwa wanajibu haraka sana kuliko hata kupiga simu same applied to makampuni makubwa kama payoneer, skrill, western union, paypal wote wako active huko kuliko kuwatafuta kwa njia za kawaida. Mimi ndiye nakushangaa weweHahahaaa....!!!!! Pole sana mkuu lkn hapa sio mahali pa kutolea malalamiko yako... Nakuwa na mashaka kdg na ww kwa sababu hekima kwako imepita mkono wa kushoto.
Pole sana mkuu kwa usumbufu uliojitokeza..!!!!! Ni kwamba kuna matengenezo yanaendelea karibu jiji lote la DSM na uboreshaji wa miundombinu yetu ndo maana unaona kuna kukatika kwa umeme mara kwa mara