Tanesco Tanesco Tanesco!

Access Denied

JF-Expert Member
Joined
Aug 10, 2012
Posts
655
Reaction score
211
Jamani naombeni kuuliza mgawo wa umeanza tena?
Maana toka jana mida na nyakati za kukata na kurudisha umeme zinafanana.
Tatizo ni nini tena Tanesco?
 
Pamoja na ilo,naomba nifahamishwe kama TANESCO wamepunguza gharama za kuunganisha umeme,nakumbuka walisema kuanzia January 2013 gharama zinashuka,mwenye kujua anifahamishe tafadhali.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…