kungurumanga Senior Member Joined Sep 4, 2015 Posts 175 Reaction score 44 Dec 22, 2015 #1 Muheshimiwa muhongo TANESCO Songea wanafanya ubabaishaji na ni kero .tunakuomba uingilie kati tabia ya ukatwaji hovyo umeme ambao hauna taarifa kwa siku wanakata hata mara 20 je ni nini tatizo?
Muheshimiwa muhongo TANESCO Songea wanafanya ubabaishaji na ni kero .tunakuomba uingilie kati tabia ya ukatwaji hovyo umeme ambao hauna taarifa kwa siku wanakata hata mara 20 je ni nini tatizo?