My Son drink water
JF-Expert Member
- Nov 30, 2016
- 4,930
- 13,335
Ikiwa hii Taarifa ina-ukweli basi nakuita mjinga hata kama napaswa kuheshimu mawazo yako StupidityAcha wapige perdiem zao, mbona viongozi wa kisiasa wanajigia tuu?
Kila mtu atakula kwa urefu wa kamba yake, over.
Ndugu mpendwa Mteja wetuNi mara nyingi mno niwalalamikia TISS kwa uzembe wa kutojua na kufuatilia mambo yenye tija kwa Taifa, badala yake wamekuwa wepesi kujua ni wapi wapinzani wanakutanika ili kudai katiba mpya.
Lakini kujua hujuma zinazofanywa na wafanyakazi waovu wa Serikali eti hawaijui. Taarifa za uhakika kutoka mkoani Shinyanyanga zimenifikia zikidai kuwa Shirika la umeme TANESCO katika wilaya mpya ya msalala maeneo yanayozunguka mgodi wa Bulyanhulu na vijiji vyake vya kakola, Bugarama na Ilogi yamekuwa yakikumbwa na ukosefu wa umeme kila mvua zinapotokea, yaani TANESCO eneo hilo wamechimbia nguzo kwa futi mbili badala ya futi nne kwenda chini kama inavyoshauriwa na wataalamu.
Lengo lao kila nguzo zinapoanguka wao hupiga Pesa za allowance na overtime zingine. Huu ni mkakati maalumu waliojiwekea ili wapige Pesa. Kwamba nguzo zinasimikwa legelege makusudi kabisa ili hata upepo mdogo tu ukitokea zianguke watu wapige Pesa.
Hii ni economic sabotage,na wameshafanya hivyo zaidi mara kumi.
Napoandika eneo lote hilo halina umeme eti nguzo zaidi ya 15 zimeanguka. Ajabu ni kwamba, maeneo hayo hayo yanayodaiwa kupigwa na upepo kuna nguzo bado zipo imara na hazijaanguka na zile zilizoanguka zimeanguka kwa kufuatana "series"yaani hata mjinga akiona anajua kabisa huu ni usanii mtupu.
Kwenye Taifa maskini kupindukia kama Tanzania umeme kufanyiwa hujuma ni ukatili wa kutisha huu. TISS,badilikeni mlinde Uchumi wa nchi na watu wake.
Hujuma kama hizi zimesambaa Tanzania nzima na hakuna wa kuwagusa Majambaz haya ya kiuchumi.
Mna uwezo wa kumlinda? Msije mkampoteza member wa JFNdugu mpendwa Mteja wetu
Tunafurahia kukuhudumia kupitia kurasa zetu za mitandao ya kijamii, tafadhali onesha taarifa kamili kwa huduma bora.
Jina
Eneo
Wilaya
Namba ya simu
Tatizo
Toka lini
Namba ya taarifa
Ahsante sana
TANESCO Huduma kwa Wateja
Tumedhibitisha hilo mara kadhaa kwa waliotoa ushirikianoMna uwezo wa kumlinda? Msije mkampoteza member wa JF
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Safi sana!
Nashauri wazidishe mara 10 zaidi ya hapo!
Aliejaribu kututetea tulimtukana kwa kumuita dhalimu na dikteta!
Nashauri hao tanesco hapo shinyanga waongeze hujuma maana democrasia imetamalaki sana na tunapumua baada ya kuonewa sana kwa miaka 5
Hamjui kama hii ni Jamii forums? Mnataka details zake za nini?Ndugu mpendwa Mteja wetu
Tunafurahia kukuhudumia kupitia kurasa zetu za mitandao ya kijamii, tafadhali onesha taarifa kamili kwa huduma bora.
Jina
Eneo
Wilaya
Namba ya simu
Tatizo
Toka lini
Namba ya taarifa
Ahsante sana
TANESCO Huduma kwa Wateja
Sheria za jamii forums zizingatiwe.Tumedhibitisha hilo mara kadhaa kwa waliotoa ushirikiano
Tumependa kumsikiliza kwa kuwa huduma zetu zinaendana na taarifa kamiliHamjui kama hii ni Jamii forums? Mnataka details zake za nini?
Jamii forum sio dawati la huduma, ni Jukwaa la kuhabarishanaTumependa kumsikiliza kwa kuwa huduma zetu zinaendana na taarifa kamili