Ndugu mteja!Hongera sana uongozi mpya wa Tanesco.mambo yanakwenda kisasa .nimeripoti ubovu wa mita wamebadilisha chini ya saa 24.zamani ingechukua miezi na mpaka utoe rushwa.kila kitu sasa tanesco ni digital online.hakuna tena ubabaishaji.ukiomba umeme leo kama vigezo vipo sahihi mara moja unafungiwa umeme.zile habari za kibabaishaji mara hakuna mita.mara hakuna nguzo.mara savea hana usafiri imekuwa historia.bajaji za tansco zinafuata wateja hakuna tena ile kero ya changia mafuta mara nauli nk.kwa ufanisi huu mlio onyesha naona Tanesco inakwenda kuwa moja ya mashirika ya umma yenye mafanikio makubwa karibuni.shirika sasa linaendeshwa kisasa yaani kidigitali zaidi
Acha hizo sifa za kijinga MakambaHongera sana uongozi mpya wa Tanesco.mambo yanakwenda kisasa .nimeripoti ubovu wa mita wamebadilisha chini ya saa 24.zamani ingechukua miezi na mpaka utoe rushwa.kila kitu sasa tanesco ni digital online.hakuna tena ubabaishaji.ukiomba umeme leo kama vigezo vipo sahihi mara moja unafungiwa umeme.zile habari za kibabaishaji mara hakuna mita.mara hakuna nguzo.mara savea hana usafiri imekuwa historia.bajaji za tansco zinafuata wateja hakuna tena ile kero ya changia mafuta mara nauli nk.kwa ufanisi huu mlio onyesha naona Tanesco inakwenda kuwa moja ya mashirika ya umma yenye mafanikio makubwa karibuni.shirika sasa linaendeshwa kisasa yaani kidigitali zaidi
Mjibu na kwenye thread yenuNdugu mteja!
Uongozi wa TANESCO unatoa shukurani za dhati kwako na wateja wake wote kwa kuendelea kuchagua kutumia huduma zetu na kutupatia nafasi ya kuwahudumia kwani ninyi ndio sababu ya sisi kufanya kazi usiku na mchana kuhakikisha huduma bora kwa wateja wetu
Ahsante Sana, JANM
Eti wanasema mmejianzishia uzi wa kujisifu , hii ID ni yako mkuuNdugu mteja!
Uongozi wa TANESCO unatoa shukurani za dhati kwako na wateja wake wote kwa kuendelea kuchagua kutumia huduma zetu na kutupatia nafasi ya kuwahudumia kwani ninyi ndio sababu ya sisi kufanya kazi usiku na mchana kuhakikisha huduma bora kwa wateja wetu
Ahsante Sana, JANM
Fundi aliyenibadilishia mita alinikuta home jana.baada ya kuongea nae sana kakiri kabisa huduma ni bora mno kwa wateja kwa sasa.ila wao hali imekuwa ngumu kwa kuwa ule ujanja wa zamani haupo.vishoka haki imekuwa mbaya mno hawana kazi tena.huko nyuma ulikuwa huwezi kupata huduma yeyote bila rushwa.haya ni mafanikio makubwa sana.
ukiona watu wanaopinga pinga humu ni wale pinga kila kitu na sizani kama wamewahi hata kujenga nyumba.nchi hii kwa sasa teknolojia imerahisisha sana mambo.
Kwa urahisi wa teknolojia nilimwombea kijana wangu chuo online.kwa kuwa simu ilikuwa na pesa nikawa najaribu kama vyuo kumi hivi.thanks God kapata vyuo sita na amerudi jeshini amecomfirm the his choice.
Thanks uses of technology Tanzania
Thanks Makamba na Marahage Chande Tanesco for innovation.keep it up we are togegher and all good citizen appreciate your efforts.
Good citizen from Kitunda DSM
[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji1787]Eti kwa kuchagua huduma zetu kwani kuna kampuni nyingine ya mbadala badala ya Tanesco ambayo mtu anaweza kuchagua kwa hiari yake?Ndugu mteja!
Uongozi wa TANESCO unatoa shukurani za dhati kwako na wateja wake wote kwa kuendelea kuchagua kutumia huduma zetu na kutupatia nafasi ya kuwahudumia kwani ninyi ndio sababu ya sisi kufanya kazi usiku na mchana kuhakikisha huduma bora kwa wateja wetu
Ahsante Sana, JANM
Sasa bidii yote hiyo halafu umeme ni wa mgao. Mbona hii kali.Hongera sana uongozi mpya wa Tanesco.mambo yanakwenda kisasa .nimeripoti ubovu wa mita wamebadilisha chini ya saa 24.zamani ingechukua miezi na mpaka utoe rushwa.kila kitu sasa tanesco ni digital online.hakuna tena ubabaishaji.ukiomba umeme leo kama vigezo vipo sahihi mara moja unafungiwa umeme.zile habari za kibabaishaji mara hakuna mita.mara hakuna nguzo.mara savea hana usafiri imekuwa historia.bajaji za tansco zinafuata wateja hakuna tena ile kero ya changia mafuta mara nauli nk.kwa ufanisi huu mlio onyesha naona Tanesco inakwenda kuwa moja ya mashirika ya umma yenye mafanikio makubwa karibuni.shirika sasa linaendeshwa kisasa yaani kidigitali zaidi