Loyal_Merchant
JF-Expert Member
- Feb 25, 2011
- 623
- 268
Hamiemi Mikocheni, kwa vile Mtukufu Rais ana nyumba pale makutano ya Mt. Migombani na Chato, huwa umeme haukatiki pale!
Kaka uko Mikocheni gani hiyo, sisi tupo uswazi mitaa ya CCM, hata kuwe na mgao wiki nzima kweyu shwari...huku nako wanakata maaka hapa ofisini mara nyingi naona generator ndilo linafanya kazi.hata pale kwa mpemba tunapogonga menu mara nyingi unakuta joto kwa kwenda mbele
Hivi mgao wa umeme umeisha au unaendelea..? Manake hapo siku za nyuma kulikuwa hakuna mgao. lakini sasa naona hali inazid kuwa mbaya na unakatwa bila mpangilio ili hali mvua zinaendelea kunyesha mpaka mafuriko. Inakuwaje hili...?
Hamiemi Mikocheni, kwa vile Mtukufu Rais ana nyumba pale makutano ya Mt. Migombani na Chato, huwa umeme haukatiki pale!
kuna maeneo wanahamisha nguzo kupisha ujenzi wa barabara.Mfano ni wakati wa kuanzia Mwenge kwenda Tegeta ,Bunju..na pia kipande kati ya Mbezi Beach-Goba-na Kimara