Sijui hawa watu wana akili gani ? Hivi hii Serikali inayobinafsisha kila kitu; haitoi ajira; inahitaji pesa za nini kwenye matozo, kodi na kuomba misaada; kama kila kitu mwananchi anajitafutia..., Hio pesa inakusanywa ili ifanye nini ?Kwa taarifa nilizo nazo hiyo tarrif,zero inafutwaa kwahiyo mjiandae kisaikolojia. Wanasema inabaki vijijini Tena na wao nadhani ni kwa muda mfupi tu
Hata hio bado ni gharama tungekuwa na maono (vision) umeme ungekuwa hata Tshs 20 kwa unit, tuna vyanzo vingi sana vya umeme potentially.., ukishakuwa na uhakika wa nishati uzalishaji utaongezeka; narudia tena kwanini watu wahangaike na kupikia gesi au so called nishati mbadala ya aina yoyote ile ?Daah watu mlikuwa mnafaidi!! Yaani 9000 unapata units 75? Wakati pesa hiyo hiyo mm nata unit 20
Mm kinachonisikitisha wote tuko nchi moja na kiwango Cha matumizi ni kile kile kwann tarrif ziwe tofautiHata hio bado ni gharama tungekuwa na maono (vision) umeme ungekuwa hata Tshs 20 kwa unit, tuna vyanzo vingi sana vya umeme potentially.., ukishakuwa na uhakika wa nishati uzalishaji utaongezeka; narudia tena kwanini watu wahangaike na kupikia gesi au so called nishati mbadala ya aina yoyote ile ?
Matumizi sio yaleyale, hao tarrifs zero walikua na matumizi kidogoMm kinachonisikitisha wote tuko nchi moja na kiwango Cha matumizi ni Yale Yale kwann tarrif ziwe tofauti
Matumizi madogo ni yepi?Matumizi sio yaleyale, hao tarrifs zero walikua na matumizi kidogo
Hapana kwa vijijini it made sense labda kuwapa tariff ndogo..., vilevile hii ilikuwa kwa mtu yoyote ambaye matumizi yake ni madogo (yaani hana ufujaji) sababu unajua nishati gharama unaweza ukaweka bei ya bure watu wakawa wanawasha taa hadi mchana..., hivyo wakasema kwamba mwenye matumizi machache chini ya units 75 kwa mwezi basi bei yaje inakuwa ndogo....Mm kinachonisikitisha wote tuko nchi moja na kiwango Cha matumizi ni Yale Yale kwann tarrif ziwe tofauti
Chini ya Units 75 kwa mwezi ila kuna watu walichokuwa wanafanya wenyewe wakiwa hio kila mwezi ananunua kwa elfu tisa na ushee anapata 75 nyingine kwahio unakuta mtu mita yake ina units hata mia tatu kwahio kwa bahati mbaya matumizi yakizidi baadhi ya mwezi bado anakuwa anacheza mulemule....Matumizi madogo ni yepi?
Neno udogo unalielewa vipi? Au ngoja nikuulize wewe matumizi yako yanalingana na kiwanda cha bakhressa?Matumizi madogo ni yepi?
Unataka utumie 9000 kupikia , na matumizi mengine mwezi mzima unaona ni sawa?Sijui hawa watu wana akili gani ? Hivi hii Serikali inayobinafsisha kila kitu; haitoi ajira; inahitaji pesa za nini kwenye matozo, kodi na kuomba misaada; kama kila kitu mwananchi anajitafutia..., Hio pesa inakusanywa ili ifanye nini ?
Je kupunguza bei ya umeme ili tupunguze mahitaji ya dollar ya kununua gesi kutoka nje ya nchi kipi kina faida ?
Tena hio bado ni nyingi sana ukizingatia UMEME ni huduma na kuwa na Nishati ambayo bei yake sio rafiki kama nchi / kodi zetu zinalipia maradufuUnataka utumie 9000 kupikia , na matumizi mengine mwezi mzima unaona ni sawa?
Hiyo bei ya umeme haipo Dunia nzima. Itakuwepo Tanzania tuTena hio bado ni nyingi sana ukizingatia UMEME ni huduma na kuwa na Nishati ambayo bei yake sio rafiki kama nchi / kodi zetu zinalipia maradufu
Kwahio narudia tena hata issue sio kutumia kiasi gani issue ni kwamba units bei ipungue na kama watu waliweza kutimiza mahitaji yao yote kwa 9000/= basi hio ndio Tanzania ninayoitaka mimi...
- Uzalishaji kuwa wa gharama
- Kuchafua mazingira kwa watu kutumia kuni na mikaa
- Kutumia fedha za kigeni kununua LPG kwenye nchi nyingine wakati tuna nishati nchini
- Kutokutumia potential (uzalishaji ni mwingi na umeme ukizalishawa lazima utumike kutokutumia umeme at full capacity nishati hio inapotea) yaani ni kama unafungulia pipa zima la maji ili kutenga kikombe kimoja tu cha maji ya kunywa (wastage) wakati huohuo unanunua kwa jirani maji ya kunywa...
Achana na hio Bei.. Libya umeme watu walikuwa wanatumia bila kulipa (ingawa walikuwa wanatakiwa kulipa legally lakini haikuwa enforced)..., Na nchi nyingi sana ambazo zina uzalishaji mkubwa wa nishati umeme unakuwa heavily subsidized sababu faida inayopatika indirectly ni maradufu (TANESCO haipo hapo kuhakikisha inakusanya as much money as possible bali kuhakikisha inaprovide affordable electricity kwa kila mwananchi)Hiyo bei ya umeme haipo Dunia nzima. Itakuwepo Tanzania tu