Petro E. Mselewa
JF-Expert Member
- Dec 27, 2012
- 10,353
- 26,194
Huu sasa ni uchochezi MkuuUbanaji wa matumizi
we work by reducing cost and increase productivity, point yako imekaa kimajungu mkuu unajua wanachofanya wahandisi wewe?Kubana matumizi kwa kutumia mbinu za kiinjinia badala ya za kichumi ndivyo unavyofanyika!
ni kweli kabisa hata gari ya huku chalinze uwa wanadai wanaenda dar kujaza mafuta wakati kuna vituo vingi tu vya mafuta morogoro rdNimesikia kwa kuambiwa kuwa magari yote ya TANESCO ya mikoa ya Pwani na Dar es Salaam (hasa yale ya Emergency) yanajaza mafuta yake katika kituo kimoja cha mafuta. Kituo husika cha kujaza mafuta hayo ni cha TOTAL cha Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (kona ya kwenda na kutoka Mwenge).
Ndiyo kusema, magari yote ya TANESCO ya Wilaya zote za Dar es Salaam na Pwani yanajaza mafuta yake pale. Kuyaleta magari ya Chalinze, Bagamoyo na Kisarawe kuja kujaza mafuta pale ni ubadhirifu wa fedha. Kwa umbali wake, magari hayo hutumia mafuta mengi wakati wa kuja na kuondoka kujaza mafuta.
Nawauliza TANESCO ,jambo hili lina ukweli wowote? Kama ni kweli, fanyeni hima kurekebisha jambo hili. Kumbukeni kuwa pesa zinazotumika TANESCO ni pesa za umma.Hata kama ni makubaliano, makubaliano yanaweza kufanywa na vituo vya mafuta vya maeneo ya karibu ya Wilaya husika.
Haya ni matumizi sio mabaya tu ila ya ovyo ya pesa za walipa kodi..Nimesikia kwa kuambiwa kuwa magari yote ya TANESCO ya mikoa ya Pwani na Dar es Salaam (hasa yale ya Emergency) yanajaza mafuta yake katika kituo kimoja cha mafuta. Kituo husika cha kujaza mafuta hayo ni cha TOTAL cha Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (kona ya kwenda na kutoka Mwenge).
Ndiyo kusema, magari yote ya TANESCO ya Wilaya zote za Dar es Salaam na Pwani yanajaza mafuta yake pale. Kuyaleta magari ya Chalinze, Bagamoyo na Kisarawe kuja kujaza mafuta pale ni ubadhirifu wa fedha. Kwa umbali wake, magari hayo hutumia mafuta mengi wakati wa kuja na kuondoka kujaza mafuta.
Nawauliza TANESCO ,jambo hili lina ukweli wowote? Kama ni kweli, fanyeni hima kurekebisha jambo hili. Kumbukeni kuwa pesa zinazotumika TANESCO ni pesa za umma.Hata kama ni makubaliano, makubaliano yanaweza kufanywa na vituo vya mafuta vya maeneo ya karibu ya Wilaya husika.
Unajua ukiwa unaongea kwa woga wa kuitwa mchochezi na kuwafurahisha watu fulani unaishia kujichanganya kama mimi, labda huu ni ushauri wa Profesa wa Bunguruni, who knows!we work by reducing cost and increase productivity, point yako imekaa kimajungu mkuu unajua wanachofanya wahandisi wewe?
Kama ni kweli, wahusika wachunguzwe na TAKUKURUHaya ni matumizi sio mabaya tu ila ya ovyo ya pesa za walipa kodi..
TANESCO hili kama lina ukweli tafadhalini sana lazima mlibadilishe tena haraka.
Mkuu, hilo mbona dogo, gari nyingi za tanesco na hasa za wenyewe wanaita coastal zone(Dar,Pwani,Moro) zinafanyiwa SERVICE LAL GARAGE iliyoko Tanga. Sasa gari inatoka Dar kwenda kufanyiwa service Tanga, inaingia akilini???Kama ni kweli, wahusika wachunguzwe na TAKUKURU
Mkuu, usijali. Wahusika wanakusanya data hapa. Zitafanyiwa kazi.Mkuu, hilo mbona dogo, gari nyingi za tanesco na hasa za wenyewe wanaita coastal zone(Dar,Pwani,Moro) zinafanyiwa SERVICE LAL GARAGE iliyoko Tanga. Sasa gari inatoka Dar kwenda kufanyiwa service Tanga, inaingia akilini???
Eksi loyo famile
Na dereva analipwa night kiroho safi hii nchi ngumu Sana;Duh,,iyo itakuwa kali, ,gari itoke kisarawe hadi Dar kujaza mafuta tu,, Ila wanabana matumizi sio mbaya kama kweli,,,Kwa hili wanastahili pongezi kwa moyo wa dhati kabisa
Maajabu yote ya dunia tunayo sisi Tu,Mkuu, hilo mbona dogo, gari nyingi za tanesco na hasa za wenyewe wanaita coastal zone(Dar,Pwani,Moro) zinafanyiwa SERVICE LAL GARAGE iliyoko Tanga. Sasa gari inatoka Dar kwenda kufanyiwa service Tanga, inaingia akilini???
Eksi loyo famile
Wewe unatakiwa ukapimwe 'ile kitu' aliyekuambia kazi ya manunuzi inasimamiwa na Wahandisi ni naniKubana matumizi kwa kutumia mbinu za kiinjinia badala ya za kichumi ndivyo unavyofanyika!
Hii inayosubiri maagizo kutoka juu?Kama ni kweli, wahusika wachunguzwe na TAKUKURU