Uzuri wa mkakasi ndani kipande cha mti, Uwanja bomba hauna automatic generator, tanesco wasilaumiwe. Imagine ingekuwa ni shughuli nyingine ya Kitaifa inafanyika hapo na viongozi mbalimbali wa kitaifa na kimataifa wapo pale halafu hali hiyo inatokea pangekalika. Nafikiri watu wa kuwajibika wawajibike kama wale waliowajibishwa wakati wimbo wa Taifa ulipogoma kupigwa kipindi kile.