G Glory Ambroce Member Joined May 18, 2015 Posts 36 Reaction score 8 Jun 16, 2015 #1 Kwa mlio apply Tanapa wameita watu kwenye usaili gazeti la Mwananchi 15/6/2015 lina majina.
bukoba04 JF-Expert Member Joined Dec 26, 2014 Posts 1,402 Reaction score 1,293 Jun 16, 2015 #2 kaka, kama unalo gazeti naomba utupie majina hapa kwa kupiga picha... tumechelewa wengine ss wa mikoani kupata taarifa na hata kupata hilo gazet
kaka, kama unalo gazeti naomba utupie majina hapa kwa kupiga picha... tumechelewa wengine ss wa mikoani kupata taarifa na hata kupata hilo gazet
kintu JF-Expert Member Joined Nov 8, 2010 Posts 542 Reaction score 136 Jun 16, 2015 #3 wameita nafasi ipi?
ldd JF-Expert Member Joined Jun 26, 2011 Posts 790 Reaction score 128 Jun 16, 2015 #4 Wabongo taabu, walioitwa ni waliomba nafasi ya chuo Pasiansi na wala si Tanapa.
R Raqeeb JF-Expert Member Joined Feb 7, 2015 Posts 242 Reaction score 52 Jun 16, 2015 #5 ldd said: Wabongo taabu, walioitwa ni waliomba nafasi ya chuo Pasiansi na wala si Tanapa. Click to expand... Mtoa mada hajielewi na hizo nafasi tangu jana majina walioitwa kwenye usahili wa chuo pasiansi yapo ila amemeza TANAPA
ldd said: Wabongo taabu, walioitwa ni waliomba nafasi ya chuo Pasiansi na wala si Tanapa. Click to expand... Mtoa mada hajielewi na hizo nafasi tangu jana majina walioitwa kwenye usahili wa chuo pasiansi yapo ila amemeza TANAPA
mdafanga JF-Expert Member Joined Apr 15, 2015 Posts 618 Reaction score 197 Jun 16, 2015 #6 Bado bana tanapa hawajaita
C CHIEF JJ JF-Expert Member Joined Dec 29, 2014 Posts 1,075 Reaction score 357 Jun 16, 2015 #7 kazi kweli ipo
benja JF-Expert Member Joined May 10, 2011 Posts 331 Reaction score 230 Jun 16, 2015 #8 Glory Ambroce said: Kwa mlio apply Tanapa wameita watu kwenye usaili gazeti la Mwananchi 15/6/2015 lina majina. Click to expand... Kakojoe ukalale.............
Glory Ambroce said: Kwa mlio apply Tanapa wameita watu kwenye usaili gazeti la Mwananchi 15/6/2015 lina majina. Click to expand... Kakojoe ukalale.............
hekimatele JF-Expert Member Joined May 31, 2011 Posts 9,889 Reaction score 2,799 Jun 16, 2015 #9 Post gani?
L lubajaro JF-Expert Member Joined Mar 29, 2015 Posts 1,512 Reaction score 692 Jun 16, 2015 #11 Muongo mkubwa wewe
Tamalisa JF-Expert Member Joined Feb 3, 2015 Posts 2,542 Reaction score 907 Jun 17, 2015 #12 Sasa hii ni hatari
shemweta91 Senior Member Joined Sep 4, 2013 Posts 101 Reaction score 18 Jun 17, 2015 #13 mnatutisha jamani wengine tuna presha ya chini
Mpandisha mishahara JF-Expert Member Joined Mar 1, 2014 Posts 1,742 Reaction score 1,562 Jun 18, 2015 #14 Mbona Sielewi? taarifa hizi zina ukweli wowote? mnaojua mtuthibitishie jamani kwa msaada zaidi.
R Raqeeb JF-Expert Member Joined Feb 7, 2015 Posts 242 Reaction score 52 Jun 18, 2015 #15 Chuku boY said: Mbona Sielewi? taarifa hizi zina ukweli wowote? mnaojua mtuthibitishie jamani kwa msaada zaidi. Click to expand... hazina ukweli kiongozi punguza jazba
Chuku boY said: Mbona Sielewi? taarifa hizi zina ukweli wowote? mnaojua mtuthibitishie jamani kwa msaada zaidi. Click to expand... hazina ukweli kiongozi punguza jazba
Mpandisha mishahara JF-Expert Member Joined Mar 1, 2014 Posts 1,742 Reaction score 1,562 Jun 19, 2015 #16 Raqeeb said: hazina ukweli kiongozi punguza jazba Click to expand... Asante Mkuu