Tamu tama ya jenifa

doppla2

JF-Expert Member
Joined
Jun 16, 2014
Posts
1,393
Reaction score
1,462
Salaam zikufikie dada

Sijui lini utanielewa, kifupi nimeshakufa nikaoza . Najua unaujua ukweli huu ila hujakubali kuuruhusu moyo wako ukubali ombi langu.

Jenifa mtoto flani hivi, mwenye uso mzuri na mashavu kama komamanga. Kiwiliwili size ya kati na mapaja ya mviringo. Miguu ya kihaya flani hiviii....(marejeo yafaninyike kwa mtoto subira ndani ya tamthilia ya jirani)

Nakupenda unavyoongea kwa upole, nazimika na jinsi unavyoheshimu watu wa hali zote, japo najua hupendi mwanaume mlevi.

Pokea sifa hizi kila mdada alie na sifa hizi humu Jf
Usisite kuni Pm kama salaamu zangu umezipokea

Regards
 
hahaha ngoja waje wenye hizo sifa
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…