AbuuMaryam
JF-Expert Member
- Dec 26, 2015
- 2,647
- 4,753
Wengi wenu mlikuwa bado vitoto...Mimi niliifuatilia ila nilikuwa dogo sana, hata siikumbuki tena zaidi ya kumkumbuka yna na angelo.
Ngoja waje.
Nilikuwa siipendi hiyo tamthilia aisee...Niulize kuhusu isidingo bhana enzi za akina nandipa akina zeshi bhana hao akina angelo sijui yna waulize watoto wa jakaya et
The promise hukuikuta au sio?Naikumbuka the long wait
The long wait namkumbuka red butterfly, Moris(Boris)...Naikumbuka the long wait
Nilikuwa kidato cha 5 kigoma High school! Kulandea, ntyamagwa, magogo, mchete, mwingira n.k*THE PROMISE*
```Kwa Wahenga wenzangu..!```
*_Nazungumzia ile Original...ila ambayo kulikuwa na yule mdada mzuriii wa kifilipino wakuitwa YNA MORATA na Mpenzi wake ANGELO...Na ndugu zao akina ANTY AMORE, MAMA AMORE...Mtu anikumbushe kale katoto kalikokuwa rafiki yake ANGELO wakati huo ANGELO alikuwa ameumia MGUU...!_*
_TELL US ULIKUWA WAPI WAKATI UNAFUATILIA HIYO KITU...?_
*TELL US THE IMAGE YOU HAD IN YOUR MIND WAKATI ULIKUWA UNAANGALIA HIYO TAMTHILIA...!?*
_NAJUA WENGI WENU MLIKUWA BADO MAKINDA MNAWAHI KULALA..._
Ilivyoisha the promise ndo ikaja hii,nilimpa girlfriend wangu jina la "red butterfly"Naikumbuka the long wait
Alitokaga na muhuni vininakumbuka nilikua darasa la 7
aisee!nilikua nampenda sana Lia mdogo wake na angelo
Haha nilikuwa sikosagi aisee,mzee katuzingua sana kisa hii tamthilialol... 1st time naiona hii nlikua shule dining hall jpili kama sikosei, yameisha marudio ya larevancha ikaunganishwa hii,wakaka wazuri kama malaika wacha tudate wanafunzi. Sema hii na the long wait zilikua the best jamani dah! old good days.
Vipi saivi umeolewa ? Mumeo ana sura gani ?lol... 1st time naiona hii nlikua shule dining hall jpili kama sikosei, yameisha marudio ya larevancha ikaunganishwa hii,wakaka wazuri kama malaika wacha tudate wanafunzi. Sema hii na the long wait zilikua the best jamani dah! old good days.
sanaa niliipenda haijawah kuondoka akiliniIlivyoisha the promise ndo ikaja hii,nilimpa girlfriend wangu jina la "red butterfly"
Yule mzee mshua Henry alikuwa anajua sanaaa,kina boris dah
mwisho wa game yna na angelo wakaonana*THE PROMISE*
```Kwa Wahenga wenzangu..!```
*_Nazungumzia ile Original...ila ambayo kulikuwa na yule mdada mzuriii wa kifilipino wakuitwa YNA MORATA na Mpenzi wake ANGELO...Na ndugu zao akina ANTY AMORE, MAMA AMORE...Mtu anikumbushe kale katoto kalikokuwa rafiki yake ANGELO wakati huo ANGELO alikuwa ameumia MGUU...!_*
_TELL US ULIKUWA WAPI WAKATI UNAFUATILIA HIYO KITU...?_
*TELL US THE IMAGE YOU HAD IN YOUR MIND WAKATI ULIKUWA UNAANGALIA HIYO TAMTHILIA...!?*
_NAJUA WENGI WENU MLIKUWA BADO MAKINDA MNAWAHI KULALA..._
e nawakumbuka twins wote na yule aloungua upande wa shavuThe long wait namkumbuka red butterfly, Moris(Boris)...