inama Senior Member Joined Oct 9, 2021 Posts 181 Reaction score 357 Jul 29, 2022 #1 Habari wana jukwaa, Samahan naomba kuuliza naweza kupatawapi tamthilia zakizungu zinazoongea kwa kiswahili kama zile za azam TV (yaan sio kutafsiriwa na ma DJ) unakuta nisauti imeigizwa kwa kiswahili asanten
Habari wana jukwaa, Samahan naomba kuuliza naweza kupatawapi tamthilia zakizungu zinazoongea kwa kiswahili kama zile za azam TV (yaan sio kutafsiriwa na ma DJ) unakuta nisauti imeigizwa kwa kiswahili asanten
Jorge WIP JF-Expert Member Joined Jul 12, 2018 Posts 3,563 Reaction score 5,369 Jul 29, 2022 #2 inama kdg utaziona