M Mubii Senior Member Joined Jul 24, 2008 Posts 153 Reaction score 31 Feb 22, 2012 #1 Nimeiangalia hii tamthilia kwenye Dstv Africa Magic Swahili. Imenifurahisha sana haswa majamaa mawili Petro na Magugu. Hii tamthilia ambayo ni ya kiingereza inachezwa nchi gani?
Nimeiangalia hii tamthilia kwenye Dstv Africa Magic Swahili. Imenifurahisha sana haswa majamaa mawili Petro na Magugu. Hii tamthilia ambayo ni ya kiingereza inachezwa nchi gani?
NICK2275 JF-Expert Member Joined Oct 31, 2010 Posts 3,930 Reaction score 924 Feb 22, 2012 #2 ipo vizuri-ni ya tz