Wametupoka kura zetu! Je wataweza kutupokonyo nyoyo zetu? Je wataweza kutupokonya uzalendo wetu? Je wataweza kutupokonya uaminifu wetu kwa kiongozi wetu Dr. Slaa? Dr. Slaa tunasubiri neno lako... Peoples..... Power..... NEC na Kikwete mambo baaado kabisa! Mpaka kieleweke!!
Naona amenza kukiri kushindwa. huo ndio ungwana. Sio lazima asubiri hadi mwisho. i like it
Nawashukuru wote mliojitokeza kupiga kura na kukipa chama chetu ushindi wa kukumbukwa, ushindi wa kihistoria mkikaribisha mapambazuko mapya ya uongozi katika taifa letu. Kama ilivyokuwa kwenye matokeo ya Ubunge matatizo yamehamia kwenye matokeo ya Urais na kutokana na unyeti wa nafasi hii tunahitaji uangalifu katika kushughulikia. Msife moyo kwani tukiwa tayari muda si mrefu ujao tutazungumza nanyi kwa taarifa zaidi.
Dr. Wilbrod Slaa | Facebook
http://www.facebook.com/WilbrodSlaa/posts/161833713850854
Wabunge wa CHADEMA wakumbuke kwamba ushindi walioupata umechangiwa sana na mapenzi ya wananchi kwa Dk. Slaa kwa hiyo wasivimbe vichwa wakifikiri ni jitihada zao wenyewe! Dk. Slaa ndiye baba yao na ataendelea kuwa.
Nawashukuru wote mliojitokeza kupiga kura na kukipa chama chetu ushindi wa kukumbukwa, ushindi wa kihistoria mkikaribisha mapambazuko mapya ya uongozi katika taifa letu. Kama ilivyokuwa kwenye matokeo ya Ubunge matatizo yamehamia kwenye matokeo ya Urais na kutokana na unyeti wa nafasi hii tunahitaji uangalifu katika kushughulikia. Msife moyo kwani tukiwa tayari muda si mrefu ujao tutazungumza nanyi kwa taarifa zaidi.
Dr. Wilbrod Slaa | Facebook
http://www.facebook.com/WilbrodSlaa/posts/161833713850854
Tutasubiri tu ingawaje tunajua dhuluma kali JK na CCM yake wameifanya dhidi ya wapigakura wa nchi hii na Mwenyezi Mungu hatakaa kimya...
PROVERBS 15:21 These things you have done, I kept quiet, and you thought I was altogether like you; but I will rebuke you and set them in order before your eyes."