Tamko la CHADEMA Geita

ikizu

JF-Expert Member
Joined
Oct 26, 2011
Posts
431
Reaction score
56
taarifa kwa vyombo vya habari na umma wote wa watanzania
tamko la chadema wilaya ya geita juu ya unyanyaswaji wa haki ya kidemokrasia anayofanyiwa mh.godbless lema (mb) na wanachadema wote wa arusha kwa ujumla hata kupelekea mbunge lema kuamua kujipeleka rumande kwa hiari. 4 novemba 2011

 
tumechoka na matamko, tunahitaji vitendo na kama tamko alitoa lema kabla hajaenda gerezani.
 
weende arusha wakasaidiane na wenzao
mapinduzi yanaanza hivyo hivyo.
 
tumechoka na matamko, tunahitaji vitendo na kama tamko alitoa lema kabla hajaenda gerezani.

ndugu unajua gharama za kuandaa tamko moja jamaa kashavuta mkwanja wa bia kreti tano hapo kwa hilo tamko tegemea mengi yatatoka bei ni noumer
 
Tupo pamoja wanachadema wote TZ hawa CCM na watoto wao mwisho wao unakaribia,tuendelee na mapambano dhidi ya dhuruma hii ya serikali legelege ya CCM.VIVA CHADEMA,FREEDOM IS COMING.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…