Tamisemi

Escoba

Member
Joined
Jan 10, 2013
Posts
75
Reaction score
18
Hivi wakuu kuna yeyote anaefahamu ofisi za tamisemi dar es salaam zipo pande zipi,,,,pia ka kuna mtu anafahamu yyt anaefanya kazi tamisemi naomba niunganishwe
 
Pembeni mwa ofisi ya wizara ya ardhi, imetazamana na ikulu au pembeni mwa chuo cha uhaziri au magogoni
 
Tamisemi? Mfanyakazi wa Tamisemi? Mbona wengi?, walimu, wenyeviti wa serikali za mitaa/vijiji/kata, mkurugenzi wa halmashauri na wafanyakazi wote ni Tamisemi!
 
Tamisemi? Mfanyakazi wa Tamisemi? Mbona wengi?, walimu, wenyeviti wa serikali za mitaa/vijiji/kata, mkurugenzi wa halmashauri na wafanyakazi wote ni Tamisemi!

it's better to remain silent n b thought a fool than to speak n remove doubt
 
Hata mie nashda nao sana hao tamisemi coz hajanfanyia poa kutonipanga kwenye k2o
 
ofisi za Tamisemi zipo hatua chache toka ikulu au fuata barabara inayopita katikati ya jengo la wizara ya elimu na Ikulu kuelekea baharini utaliona jengo la Tamisemi upande wa kushoto, hata ukiuliza pale wizara ya elimu watakuelekeza tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…