Kiongozi kama unaona nakudanganya endeleen kusubiri hiyo awamu ya pili ila unatakiwa kufahamu kwamba awamu ya pili huwa ni kuziba mapengo ya wale ambao hawaja riport vituon kwa awamu ya kwanza na kwa taarifa ambazo zimesha asha kufika TAMISEMI kutoka halmashauri mbali mbali nchini idadi ya walio report vituon kwa mwaka huu imekuwa kubwa sana na kwa wale ambao hawajariport idadi yao imekuwa fixed na st.john ambao majina yao yalitoka baada ya ile hesabu ya 36000 kutangazwa, na unatakiwa kutambua kwamba idadi hii inakamilishwa na awamu zote mbili yaan ya kwanza na wasio report inakuwa fixed awamu ya pili na lazima idadi ifikie hiyo sababu ndiyo iliyo tengewa budget na hazina na si zaid, nafikiri kwa maelezo hayo nitakuwa nimeeleka vyema mwalimu wetu.
Sulle; achana na uyo jamaa hatatuongezea mastress bila sababu huu si muda wakulumbana wala kukatishana tamaa ni muda wakufarijiana na kuwekana sawa ivi wenyejukumu lakutoa tamko kama amna ajira second selection si tamisemi yeye anaongea kama nani nimekutana na watu pale wizara ya elimu wakanisibitishia lazima majina yetu yatatoka sema ndo tuwe na subrira.
lakini pia wale sjut-dom,walipata post at the same time with those whose their names displayed on 15th of march,so don't u see that hupaswi kusema kuwa wao wameziba nafasi kwa wale ambao hawataripoti?
Unavyo post any information uwe na evidance xo your greater thinkr unaongea bila sourc
unatakiwa kutambua kuwa orodha ya sjut imetoka baada ya idadi ya ajira kutangazwa ambayo ilipitishwa kwenye budget na wao wote 318 hawakuwepo.endeleeni kusubiri awamu yapili walimu.
Sulle; achana na uyo jamaa hatatuongezea mastress bila sababu huu si muda wakulumbana wala kukatishana tamaa ni muda wakufarijiana na kuwekana sawa ivi wenyejukumu lakutoa tamko kama amna ajira second selection si tamisemi yeye anaongea kama nani nimekutana na watu pale wizara ya elimu wakanisibitishia lazima majina yetu yatatoka sema ndo tuwe na subrira.
Unajua mcharge hawa watu tuwasikilize tu maana wakati mwingne wanatujengea namna ya kujipanga kimaisha kama mwaka huu hatutaajiriwa,usiwachukie,by the way kila mtu ana haki ya kuongea...mwache mtu atiririke unaweza ukapata point ya kusimamia hata ktk kudai haki yako
Kama umechukua masomo ya Sanaa usitegemee ajira maana wamejaa hata pa kwenda hakuna labda kidogo wa sayansi usilaumu angalia na upepo mwalimu.
Acha kuudanganya umma wewe lete takwimu zinazo onesha ukweli wa hayo uyasemayo,, swala la walimu bado ni tatizo tanzania sababu hata sasa pamoja na ajira mpya hizi bado kuna shule zina wnanafuzi 800 walimu 6 ,ila upungufu zaidi ni walimu wa sayansi lakini uhitaji bado upo hta jwa walimu art hasa shule za vijijini
Mwambie huyo
Nipo tayari hata kesho
msijali very soon ajira mtapataWewe upo mkoa gani
msijali very soon ajira mtapata
Nipo arusha mkuu