jchofachogenda JF-Expert Member Joined Jan 8, 2012 Posts 537 Reaction score 123 Jun 21, 2012 #1 Hivi kama Mzee Hamza Kalala angemkataza mwanae huyu Kalala Junior asichezee vyombo vyake vya mziki kipaji cha kijana huyu kingechelewa kuonekana au kisingeonekana kabisa.Wazazi tambueni mapema vipaji vya watoto wenu na muviendeleze. Attachments 028.JPG 35.7 KB · Views: 112
Hivi kama Mzee Hamza Kalala angemkataza mwanae huyu Kalala Junior asichezee vyombo vyake vya mziki kipaji cha kijana huyu kingechelewa kuonekana au kisingeonekana kabisa.Wazazi tambueni mapema vipaji vya watoto wenu na muviendeleze.
stineriga JF-Expert Member Joined Jun 20, 2012 Posts 2,172 Reaction score 892 Jun 21, 2012 #2 nice words,