Tambara: The gorge (2025)

Sci-fi ndio nini, mm sielewi maana ake wala sijui ndo nn msaada.
Science-fiction.

Ni muvi zinazoelezea au kuonesha mambo ya sayansi ya kubuni kama vile maroboti, safari za anga, au nadharia za kisayansi zinazoweza kuwa za ukweli au za kubuni. Muvi kama vile Spider Man, The Matrix, Avatar, Terminator, Jurrasic Park etc.

The Gorge ni Sci-fi kwa sababu ina baadhi ya vipengele ambavyo havipo kwenye maisha ya kawaida. Wale viumbe waliopo kwenye lile shimo kubwa (gorge lenyewe sasa) sio viumbe halisi na hawapo kwenye maisha ya kawaida, bali ni matokeo ya mawazo ya sayansi ya teknolojia ambayo haipo/haijafikiwa.
 
Got ya
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…