Tamaa yangu imeniponza"

mtoto wakiume unakua natabia za kike..sasa wasukuma hapa wameingia vipi..kama ulikutana na huyo poyoyo mwenzio usi generize kabila letu na kutuchafulia hadhi yetu..
 
Nalendwa njoo kuna mtu ana bifu na wasukuma huku!!!
 
mtoto wakiume unakua natabia za kike..sasa wasukuma hapa wameingia vipi..kama ulikutana na huyo poyoyo mwenzio usi generize kabila letu na kutuchafulia hadhi yetu..
pole kama wewe ni msukuma, lakini huo ndio ukweli mchungu. nimekaza sana dada zako na nimewadharau mno. si ametaja mwanza mkuu, watu walio wengi wa mwanza ni wasukuma, au? wale wa ukuryani huwa hawatoi papuchi kirahisi kwasababu wanaona aibu visimmi havipo wanawapa tu wenzao wa huko ila dada zako, nimewadharau kuliko watz wote kwasababu ndio kabila la wanawake wengi zaidi niliolala nao kuliko wote tz.
 
sijui kama unaelewa kuwa unaongea na mtu aliyeishi kahama, geita, mwanza, shinyanga, nzega, bukoba na Mbeya. sihadithiwi ujue.
Kuishi hiyo mikoa siyo kujua..ww huwajui wasukuma. Niamini mimi,ww umekula wanyiramba na wahaya. Me huko ni nyumbani,wasukuma huwajui..!! Hizo sehemu unazodai ulienda ni vigumu kumjua msukuma wa kweli..! Wanyiramba na makabila mengine hujifanya wasukuma ili wapate soko..!!



Sent using Jamii Forums mobile app
 
sio kwamba nilienda, nimeishi kahama, nina nyumba yangu kule Nyasubi, nimeishi pia Geita, nimeishi na mwanza. nimeishiiiii
 
boya wewe..umepata faida gani sasa.
 
Pongezi hapana mkuu.

Mtoto mdogo si vyema kumtelekeza guest ungetumia njia nyingine tu kuhahirisha jambo ulilokuwa umekusudia.
 
faida gani kutafuna dada zako? sijapata faida yeyote mkuu. bora tu ningetulia, manake nilikuwa namkosea Mungu kuzini ujue.
next time usi generize kuchafua kabila la watu sio inshu wala nini..?
 
next time usi generize kuchafua kabila la watu sio inshu wala nini..?
sawa mkuu, nisamehe, ila nilikuwa natoa experience ya niliyoyapitia tu. next time nitawadanganya kuwa hamko hivyo ili uridhike.
 
Yaani umetoka kwako ukapita na njia za chocho kuogopa watu ukaona stori ni kupoteza muda ukawaza upige mahine fasta fasta ukakutana na kitu kilichokukatisha stimu afu unasema tukupe pongezi umemshinda Shetani?????????
Inachekesha sana hii
 
Nakwahali yahewa yaleo Mwanza, ungelala tu ndani kama Mimi Ndugu yangu,haya mambo sio yakukurupuka,hongera kwa kushinda

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Yaani nikupe pongezi kwa kuwaharibia hawa watoto maisha yao???!!!

Jamani hao watoto na wao wanataka kuwa walimu,madaktari,marubani,wanasheria,mahakimu, n.k

Sisi ambao tunatakiwa kuwa kioo chao ndo tunawapaka tena matope.

Remember the role of the finishing return will never leave you safety.



Sent using Jamii Forums mobile app
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…