Tally erp software kwa ajiri ya bishara yako

CONFIRM

Member
Joined
Aug 2, 2014
Posts
24
Reaction score
1
Husika na kichwa cha habari hapo juu, tunatoa huduma ya kuweka na kukuelekeza kutumia tally erp software kuanzia biashara binafsi, miradi, maduka na kampuni ndogo mpaka kubwa kwa bei ndogo kabisa.

Tally ni nini hasa? Hii ni software yenye uwezo kufanya “management” ya “stock/inventory” za biashara yoyote ile kuanzia maduka, pharmacy, mafuta, mifugo ,computer , na vifaa vyake (computer accessories) vifaa vya ujenzi n.k na kukupa report haraka sana kwa kipindi chochote unachohitaji. Mfano bei ya kununua/kuuza, stock kiasi gani imebaki/imeuzwa na dhamani yae mda wowote

Ina uwezo mkubwa wa kufanya management ya vitabu vya mahesabu ya biashara (financial statements ) mahesabu ya kila siku kama mauzo, matumizi n.k kwa ufanisi mkubwa sana

Ni mojawapo ya software nyepesi kabisa kutumia hata ukitaka kutumia lugha unayotaka unaweza pia. Imewasaidia wengi sana pia wanafunzi wanaohitaji kujiendeleza wanakaribishwa
Bei zetu ni za kawaida sana tunaelewana kulingana na kazi yenyewe . maelezo Zaidi ni PM au tupigie kupitia namba hii 0786-733-465
 
Tupo dar es salaam .. kwa walioko mikoani mtafikiwa bila wasi wasi !
 
Je? Mna uwezo wa ku develop TDL patch kwa ajili ya custom layout ya invoice kwa tally ERP 9
 
Nipe pm unataka invoice yako ionekaneje , iwe na feature ipi na ipi ? then utatengenezewa ..
 
Labda bei yakuanzia ni ngapi? Na je nikitaka jifunza mimi niwe developer mtanisaidia vipi?
 
bei ya kuanzia kuu train? installation na training ? hizi zinategemea na kazi zako na vitu vingapi unataka tally ikufanyie.. kuhusu ku trainn TALLY DEFINITION LANGUAGE (TDL) bei yake inategemena na qualification zako na mda utaoupata .. mara nyingi jioni sana bei inaongezeka na hii hatujaipa standard price kwa sababu ni wateja wachache sana wanataka kufundishwa TDL kwa hiyo tunafanya maelewano
 
Mimi natumia Quick book 2011. Unashauri nini, k ulidhani sha na hiyo?
 
Isee njoo huku kwa tally erp hii ni mwisho wa matatizo .. wapo wengi waliokuwa na hiyo quick books nimewaonesha tally ilivyo wamehama haraka sana .!! . nipe pm nijue unataka tally ikufanyie nn tutaelewana
 
Kwa kuongezea tu . Tally ina security feature ambayo unaweza kufungua account mbali mbali kwa watu tofauti tofauti mfano owner awe na account yake ambayo ataweza kuona kila kitu na user wengine wawe na account zao ambazo unaweza kuwalimit mfano wasione profit ,stock , wasifanye.changes n.k
 
Isee njoo huku kwa tally erp hii ni mwisho wa matatizo .. wapo wengi waliokuwa na hiyo quick books nimewaonesha tally ilivyo wamehama haraka sana .!! . nipe pm nijue unataka tally ikufanyie nn tutaelewana

Tatizo la tally administrator anaweza kufuta (Delete) transaction yeyote iliyokuwa posted bila ya tatizo lolote, kawaida ya mahesabu tunafuta kwa kupitisha journal kubadilisha transaction iliyokosewa na siyo kufuta. Ndiyo maana makampuni mengi wanapata shida na misukosuko kutoka mauditor wa nje wanaujua ubovu huo wa tally.
 
Isee njoo huku kwa tally erp hii ni mwisho wa matatizo .. wapo wengi waliokuwa na hiyo quick books nimewaonesha tally ilivyo wamehama haraka sana .!! . nipe pm nijue unataka tally ikufanyie nn tutaelewana

Tuwekee software comparison kati ya QuickBook na Tally tuone ukweli wa ubora wa tally
 
Back
Top Bottom