Beso JF-Expert Member Joined May 6, 2011 Posts 216 Reaction score 59 Jul 17, 2012 #1 talaka ndio hii!!!View attachment 59030
Mkirua JF-Expert Member Joined Sep 9, 2010 Posts 5,647 Reaction score 2,513 Jul 17, 2012 #2 Tarehe???
Determinantor Platinum Member Joined Mar 17, 2008 Posts 61,488 Reaction score 100,883 Jul 17, 2012 #3 Hivi Talaka inaamanisha hata siku mkiwa mahali pa faragha na mazingira yakaruhusu huwezi kumgusa kabisa mwenzio? au unaruhusiwa kufanya kumbukumbu?
Hivi Talaka inaamanisha hata siku mkiwa mahali pa faragha na mazingira yakaruhusu huwezi kumgusa kabisa mwenzio? au unaruhusiwa kufanya kumbukumbu?
dubu JF-Expert Member Joined Oct 18, 2011 Posts 3,502 Reaction score 3,487 Jul 17, 2012 #4 Mkirua said: Tarehe??? Click to expand... 16/4/2012
Wilbert1974 JF-Expert Member Joined Feb 10, 2011 Posts 1,632 Reaction score 481 Jul 17, 2012 #5 dubu said: 16/4/2012 Click to expand... Weka na ya nakala Mahakama ya KADHI, tuone ipi ni ya kiwango zaidi!
dubu said: 16/4/2012 Click to expand... Weka na ya nakala Mahakama ya KADHI, tuone ipi ni ya kiwango zaidi!
M MAMENGAZI JF-Expert Member Joined Dec 31, 2010 Posts 779 Reaction score 129 Jul 17, 2012 #6 kwa hiyo ruksa kwa dr slaa kuchukua jumla au josephine huyo sio yule mtarajiwa wa dr!
kiagata JF-Expert Member Joined Jan 12, 2012 Posts 206 Reaction score 80 Jul 17, 2012 #8 Beso said: talaka ndio hii!!!View attachment 59030 Click to expand... Mkuu ndoa hii imevunjika lini?.Kwasasa tangu 2006 hakuna wilaya ya Mwanza.Zipo Nyamagan na Ilemela ambazo zinaunda jiji la Mwanza.
Beso said: talaka ndio hii!!!View attachment 59030 Click to expand... Mkuu ndoa hii imevunjika lini?.Kwasasa tangu 2006 hakuna wilaya ya Mwanza.Zipo Nyamagan na Ilemela ambazo zinaunda jiji la Mwanza.