okay but ongezeko oa mkopo ni kdgo sana kama ww ni mhudika muongeze ili kuleta tijaKwa mkopo mrahisi wenye riba nafuu zaidi usio na ubabaishaji wa aina yoyote ndani ya dakika tano ,Tala ndo jibu lako
Cha kufanya ingia playstore kisha pakua app ya Tala Tanzania
Baada ya hapo jibu maswali machache ili unufaike na mkopo
Tembelea Google play store udownload apps
Fungua link hii hapa
https://play.google.com/store/apps/details?id=tz.com.talaView attachment 774851
Apana, bos inatakiwa uwai kulipa mapema kupata nafasi yakopa zaidi, yan kwamfano ukikopa 20.000 ukilipa ndani yaweek utaongezewa double au triple ya mkopo wako wa 20.000 yani utakopeshwa 40.000 au 50.000 ndani ya week, ukirejesha daani ya week mbili maramoja utaongezewa 10000...
Ni hatari mkuumkuu tukipakua mwishoni si tutapakuliwaππ
naomba kulipa kwa mwezi na nalipa mara moja ila ongezeko ni dogoLabda hujawai kulipa mapema mkopo wote kwamaramoja
ngoja ntaulza wanipe uhakikaMara hii jaribu kulipa baada ya week utanipa jibu