Frustration
JF-Expert Member
- Jan 30, 2018
- 3,191
- 4,192
We not talking about English language he usedLala uamke tena naona umekurupuka na kingereza chako uchwara ukaisi wote hatujasoma Urusi alipigana na ufaransa iliyokuwa na nguvu miaka iyooo na akapigwa kipigo cha mbwa mwizi japo alifika Hadi ndani ya urusi kabisa kaja Germany labda Rusia alisaidiwa Ila bila ushindi WA Rusia Leo hii Germany ingekuwa taifa kubwa kuliko USA na ulaya ingekuwa chini yake unaongelea nuke wakati aliyeanzisha huu mchezo WA kushindwa vita na kukimbilia silaha za maangamizi ni uyooo mnayemuita kiranja wa dunia chuki zenu Kwa Rusia isikufanye ujitoe ufahamu
Kama umeandika vitu ambavyo havimake sense nakoment hivyo.hamna ukweli wa ulichozungumza hapo.You don't make sense.Kuna mtu humu Jf aliwai kukuukiza ikiwa unajua/hujui neno jingine nje na nonisensi sikujua alikuwa na maana gani, sasa nimejua.
Mpaka Leo Russia Inaa deni laa vifaa vya marekani walivyo kodishiwa.USA did not help USSR.STOP NONSENSE
Sasa siku hizi warusi wanauwezo wa kujitengenezea silaha tena wanatengereza silaha zingine hatari zaidi kuliko za wamarekani na kisanyansi wapo vizuri zaidi level ya juu Sana maeneo mengine hata zaidi ya wamarekani yaani baadaya Vita vya dunia ya pili warusi waliendeleza Sana sayansi Yao.Acha ubishi, nenda kasome kuhusu 'Lend lease program' uone jinsi mkopo wa Marekani ulivyowasaidia Uingereza na Ussr.
Theluthi moja (1/3) ya mabomu yaliyotumiwa na Ussr kwenye vita ya pili ya dunia yalitoka Marekani....msaada mwingine ulihusisha chakula, buti za kijeshi, magari, ndege Vita, madawa.
Deni la shilingi ngapi?Mpaka Leo Russia Inaa deni laa vifaa vya marekani walivyo kodishiwa.
You seriously need to have a look at other news sources beyond Jf. At least bring your head out from under the rock where you live.Kama umeandika vitu ambavyo havimake sense nakoment hivyo.hamna ukweli wa ulichozungumza hapo.You don't make sense.
Ni vyema ukaleta Mchele kwa manufaa ya wengine.PUMBA
Ulipokua kule kwa thread ya Nairobi vs dar ulikua na akili lakini sijui zilienda wapiDeni la shilingi ngapi?
In America when you type something and you don't say anything in facts, they call it an empty massage. This is also an empty message since you have failed to show something that me and other readers would benefit from.
Sasa wewe hujaweka facts kwanini warusi na wachina hawawawezi wamarekani kijeshi ungeanza kuweka facts kwenye Uzi wako.mimi nakupa facts kwamba warusi wanasilaha za kushambulia popote Marekani tena wanaweza kabisa kuisambaratisha hao wamarekani.wamarekani kuwasaidia warusi wakati ule ni kwasababu walikuwa block moja.weka facts ukionesha kwanini wamarekani wawawezekani.You seriously need to have a look at other news sources beyond Jf. At least bring your head out from under the rock where you live.
Do you have any example to support what you say? Any war that USA fought and won? She is ever overrated by third world countries especially in Africa and in latin AmericaAlong with your trash you vomited there, get this fact:,
Most of the wars u see America fighting are just intervention, using less than 30% of their military might. No country in the world can defeat USA in a direct war confrontation, none! Except the world combine to fight US, but if it is one on one confrontation, no country can defeat USA. They didn't just assume the position of number 1 world power, they earned it!
Wakati huo walikuwa kwenye block moja kwahiyo kusaidiwa ni kawaida.lakini Saa hizi Warusi na wachina wanasilaha za kushambulia hao wamarekani wewe huoni wenyewe huko Ukraine wanaepuka mgogoro wa moja kwa moja na Warusi? Mnatakiwa mje na sababu inayoeleweka kwanini hao wamarekani hawawezi kushambuliwa na warusi au wachina.Ulipokua kule kwa thread ya Nairobi vs dar ulikua na akili lakini sijui zilienda wapi
He will do his pleasure on Babylon, and his arm shall be on the
I have said it without number, no country in this world not even the next 100 years can challenge and defeat the US because they have everything going on them. Intelligent, huge visible economic and not paper economic. Slow to react but catastrophic in action.
Weapons, high technology, innovative etc.
The only country that has capability to challenge US in war in this world is Germany not noisy China and Russia.
Germany is the only country that has displayed great strength in the world fought and defeated almighty Europe and intered east to give highest brutality any country can ever dream of.
In ww1 it was US stopped them. In ww2 same US helped USSR to stop Germany.
War and strength is not by displaying Nuke everyday. War is fought in battlefield and strength is displayed in War not on parades.
You hardly hear US and GERMANY make too much noise of wars and nukes.
You only know them in battlefield. Noise is for weak countries.
THERE REMAINS THEREFORE A SABBATH REST FOR THE PEOPLE OF GOD.
Miaka ya nyuma kidogo nilikuwa naamini mtu akiongea au kuandika kiingereza lazima atakuwa na akili nyingi sana. Baadae nikaja kugundua na kujua kwamba unaweza kuandika au kuongea utopolo kwa hii lugha ya malkia. This isbthe same to you. Silly
😳😳 Wich example do you need?.Do you have any example to support what you say? Any war that USA fought and won? She is ever overrated by third world countries especially in Africa and in latin America
Naona ulinishukia kama Mwewe bila kusoma nilichokiandika.Sasa wewe hujaweka facts kwanini warusi na wachina hawawawezi wamarekani kijeshi ungeanza kuweka facts kwenye Uzi wako.mimi nakupa facts kwamba warusi wanasilaha za kushambulia popote Marekani tena wanaweza kabisa kuisambaratisha hao wamarekani.wamarekani kuwasaidia warusi wakati ule ni kwasababu walikuwa block moja.weka facts ukionesha kwanini wamarekani wawawezekani.