Taja tatizo lolote la kiafya la ajabuajabu au unalohisi mashaka usaidiwe

Complicator

JF-Expert Member
Aug 23, 2013
2,198
3,566
Kuna vitu fulani huwa vinatutokea kwenye miili yetu halafu unabaki tu na maswali kwakua ni wewe tu unatatizwa.

Mimi kuna hii habari ya kucheua baada ya kula,yaani unagonga zako msosi freshi,baada ya kushiba zako umetulia zako maraaaa paaaa kanakuja kahamu fulani kama ka kurudisha chenji...unaamua kukatilia maanani,mara paaaaaaa nyama izi hapa mdomoni toka tumboni..unaanza kuzimanga tena,alafu ukiwa hujakaa sana bado zinakua na utamutamu flani kama ndio kweli unakula hapohapo...haka kamchezo mimi nakapenda lakini kamekua kero kwa watu wa karibu pia sometimes ni aibu fulani hivi...so nikiona kuna mtu ananitinga naenda zangu kando najilisha tena...

Sasa sijui ni tatizo au ni baraka au kipaji tulichonacho wachache wateule.

Tupeane uzoefu

Na wewe taja katatizo kako basi
 
Na kuna tule tududu fulani tweupe ukivuta ule ute wa kooni tunatoka,ukituona unaweza tuchukulia poa...nusa sasa uone habari yake....kadogo ila kana harufu ya ukiunganisha madampo yote ya ukanda wa pwani.

Nilisoma nikaambiwa siyo tatizo ila ni kawaida tu,ila bado siamini
 
Halo kaugonjwa ninako kakucheua pia nakapendaga Sana. Kingine, Kila tarehe za mwisho wa mwezi Kuna vipele Kama 8 mpk 10 vunaota kwenye kichwa Cha uume na kupotea baada ya siku mbili au tatu. Tatizo hili ninalo mwaka wa tatu sasa
 
H

Ahhaa kagumu halafu.. nilikuwa na hilo tatizo kitambo sana.. ila nilipona sijui na nn maana niliambiwa ni fungus nikaacha kutumia vitu baridi na vilivyopoa, ila dawa nilipewa na huyo dr leo Mungu amrehemu huko alipo siikumbuki hiyo dawa yena kahosp kenyewe ambako niliponea kaajabu tu. wakat huko mwanxo nilikoswa na operation ya koo.. sijui wangenifantiaje jaman.... pole sana ndugu kwa yote hayo..
 
Kuna mtu pua yake inaharufu flan mbaya.Sijui tatizo nini maskini.
 
Halo kaugonjwa ninako kakucheua pia nakapendaga Sana. Kingine, Kila tarehe za mwisho wa mwezi Kuna vipele Kama 8 mpk 10 vunaota kwenye kichwa Cha uume na kupotea baada ya siku mbili au tatu. Tatizo hili ninalo mwaka wa tatu sasa
Aisee utakua unapitia mp, mzunguko wako ni siku ngapi mkuu?
 
Na kuna tule tududu fulani tweupe ukivuta ule ute wa kooni tunatoka,ukituona unaweza tuchukulia poa...nusa sasa uone habari yake....kadogo ila kana harufu ya ukiunganisha madampo yote ya ukanda wa pwani.

Nilisoma nikaambiwa siyo tatizo ila ni kawaida tu,ila bado siamini

Umenifanya nimecheka sana mzee.... dah, nakumbuka zamani sana niko chalii huto tudude tulikuwa tunanitokea.... sasa ule ujinga wa kitoto unakachukua af unakapasua unamuita dogo unamnusisha... asee huo ugomvi wake... unakuta maza anauliza nini shida, dogo anasema, maza nae anaomba kuon ili ahakikishe.... bas unakula makofi tu..... vile vidude ni shida kwa smell, sijui huwa ni nini
 
Halo kaugonjwa ninako kakucheua pia nakapendaga Sana. Kingine, Kila tarehe za mwisho wa mwezi Kuna vipele Kama 8 mpk 10 vunaota kwenye kichwa Cha uume na kupotea baada ya siku mbili au tatu. Tatizo hili ninalo mwaka wa tatu sasa
o_O o_O o_O o_O o_O kumbe tuko wengi
 
Umenifanya nimecheka sana mzee.... dah, nakumbuka zamani sana niko chalii huto tudude tulikuwa tunanitokea.... sasa ule ujinga wa kitoto unakachukua af unakapasua unamuita dogo unamnusisha... asee huo ugomvi wake... unakuta maza anauliza nini shida, dogo anasema, maza nae anaomba kuon ili ahakikishe.... bas unakula makofi tu..... vile vidude ni shida kwa smell, sijui huwa ni nini
Kumbe na wewe mkuu,halafu smel yake ukikapata tu lazima ukanuse ili kukakomesha...sijui ndio tunini tule aseee :)
 
mm sidhan kama nna safe days!nafeli wapi wakuu..dk aliniambia sijui mwili unachavusha mayai twice kwa mwezi:cool:!simbilisi hii hapa
 
Kuna vitu fulani huwa vinatutokea kwenye miili yetu halafu unabaki tu na maswali kwakua ni wewe tu unatatizwa.

Mimi kuna hii habari ya kucheua baada ya kula,yaani unagonga zako msosi freshi,baada ya kushiba zako umetulia zako maraaaa paaaa kanakuja kahamu fulani kama ka kurudisha chenji...unaamua kukatilia maanani,mara paaaaaaa nyama izi hapa mdomoni toka tumboni..unaanza kuzimanga tena,alafu ukiwa hujakaa sana bado zinakua na utamutamu flani kama ndio kweli unakula hapohapo...haka kamchezo mimi nakapenda lakini kamekua kero kwa watu wa karibu pia sometimes ni aibu fulani hivi...so nikiona kuna mtu ananitinga naenda zangu kando najilisha tena...

Sasa sijui ni tatizo au ni baraka au kipaji tulichonacho wachache wateule.

Tupeane uzoefu

Na wewe taja katatizo kako basi
Hahaha ;; mkuu ako kamchezo kako anakatumia mbuzi ,, ,,
 
Back
Top Bottom