Wanathiiimbaaaaaa......Ndg Wana JF ...
Utafiti nilioufanya mwaka jana, niligundua mashabiki wa Simba ni sawa na waaumini wa ufufuo na uzima. Huwezi kushindana nao kwa kubishana.
Hizi Ni baadhi ya sifa za makolo
1. Wepesi wa kumtafuta mchawi (3rd part) pale timu Inafanya vibaya, watamtafuta wakumuwajibisha fasta.....mfano one day tutashuhudia yule CEO akiitisha press ya kumtimua Mwamedi[emoji23]
2. Waongeaji na wanakele Sana that's y wakifungwa unaweza kuta jiji limetulia
3. Wana too much expectations than uwezo walionao ( dharau na viburi)
Sifa za wananchi
1. Wavumilivu, hata timu ifanye vibaya watajipa muda kwaajili ya kuruhusu kufanya mabadiliko. Mfano issue ya prof. Nabi bado anaungwa mkono ingawa timu haikufanya vzr
Je! Unazifahamu sifa zipi za mashabiki wa Simba ( makolo)View attachment 2401039
Hahahahaha na wa Uto hua wanadhani timu lao kubwa kumbe joka la kibisa tuMashabiki walio wengi wa simba ni wapumbavu sana kwa asiye jua anaweza kudhania labda simba ni timu ya kulingana na man city kumbe wala ni ujinga mtupu.
Kwani kadanganya?Kulikuwa hakuna haja ya kutaja Ufufuo na Uzima
Imani ni kitu sensitive
Tuheshimu imani za watu
Kabisa mkuu....wanashindwa kuweka akiba ya maneno mfano......yule msemaji wao hajaspost Tena mtandaoni ...baada ya mechi ya AzamMashabiki walio wengi wa simba ni wapumbavu sana kwa asiye jua anaweza kudhania labda simba ni timu ya kulingana na man city kumbe wala ni ujinga mtupu.
Don't forget to mention vijisifa vya m.k.u.n.d. WAKO piaNdg Wana JF ...
Utafiti nilioufanya mwaka jana, niligundua mashabiki wa Simba ni sawa na waaumini wa ufufuo na uzima. Huwezi kushindana nao kwa kubishana.
Hizi Ni baadhi ya sifa za makolo
1. Wepesi wa kumtafuta mchawi (3rd part) pale timu Inafanya vibaya, watamtafuta wakumuwajibisha fasta.....mfano one day tutashuhudia yule CEO akiitisha press ya kumtimua Mwamedi[emoji23]
2. Waongeaji na wanakele Sana that's y wakifungwa unaweza kuta jiji limetulia
3. Wana too much expectations than uwezo walionao ( dharau na viburi)
Sifa za wananchi
1. Wavumilivu, hata timu ifanye vibaya watajipa muda kwaajili ya kuruhusu kufanya mabadiliko. Mfano issue ya prof. Nabi bado anaungwa mkono ingawa timu haikufanya vzr
Je! Unazifahamu sifa zipi za mashabiki wa Simba ( makolo)View attachment 2401039
Ha haha haaaaaaa hahahaha hahaaaaaaaaaaaa.....